Tupia contacts DM tulipe kodi ya pango mkuu
 
Yaan mwanangu had umetoboka pesa unasema kimasihara

Kimasihara ungesem umemla kwenye bajaji na ukasahau kuchukua namba zake😀😀
 
Anaonekana very innocent
 
Hii sio kimasihara ni sawa na kununua tu
 
Sio kimasikhara ila sio stori mbaya...

Uzi unatembea mno,hope hakuna kisa kipya.
 
Ipo ivii

Kuna wale Wanawake wa Uswaz wanatabia ya KuombaOmba hela ndogo ndogo hata kwa mtu wasiyemjua. Yawezakuwa ni Tabia au mwingine ana Shida kweli.

Wiki iliyopita usiku muda wa Saa 2 kuelekea saa 3 ilinikuta niko maeneo ya Tandale uswahilini swahilini.

Mara nashangaa nasimamishwa na Dada mmoja kwa Sura ni mzuri sana Kavaa Dera chura Yumoo ana anaonekana kwa Wazi kbsa pia siyo mwembamba sana wala siyo mnene; Rangi yake maji ya kunde.

Kaka mambo vp, samahani Naomba Nisaidie Elfu 2 nikanunue Kiepe. Ndo kitu cha kwanza kuniambia hicho. Niliinua macho kumuangalia kwani Muda huo nilikuwa ninatembea huku nachat kupitia kitochi changu.

Nikamwangalia kwa sekunde kadhaa nikijishauri nimpe hiyo hela au vp. Pia nikapeleka Fikra kweny Wallet yangu ilivyo nikakumbuka hakuna elf 2 bali kuna sk elf 1 ilikuwa moja na kwnzia elfu 5 na kumi.

Nikajikuta nimemjibu sina hela ndogo hapo. Mara Ghafla wazo la Kishetani likanijia pale nilipojibu lile jibu. Nikajikuta nimemwambia ila nina elf 5 yako hapa ila na mm nina shida kama utanisaidia Ntaikupa Yote!

Akaniambia una Shida gani? Nikamwambia Nina Nyege na nilipokuona tu nimeona ww pekee kwa muda huu ndo unaweza kunisaidia.

Kwanza alipatwa na mshangao akaniambia sijakusikia vzr au nikamwambia ivyo ivyo ulivyosikia. Nahitaki kukut**mba. Kama upo tyr utanikuta palee nikanyooshea Kidgo kweny Baa flani Iko maeneo ya Mbele kwa maelezo kweny Bango ni Baa na Gest. Nikamuacha ameduaa palee mm huyoo nikalelekea hadi kweny Ilee baa sikujisumbua kuangalia Nyuma kama atakuja au vp!

Nikawahi chap mapokezi nikakuta kijana nikamuuliza bei ya chumba akaniambia elf 10 nikamwambia short time vp akaniambia elf 10 hiyo hiyo. Nikamwambia Nakupa elf 7 ndani ya lisaa nakupa chumba chako, sikumpa Muda wa kufikiria nikamwambia nakuja nachukua mtu hapo Nje.

Ile natoka Upande wa Gest namuona yule Bidada naye ndo anaingia Upande wa Bar. Watu wengi walikuwa wameelekeza akili yao kuangalia Michuano ya Mapinduzi cup, ivyo aliniona kwa wepesi akaja nilipo Nikashika mkono Mpka mapokezi nikapewa Funguo nikamwingiza Chumbani nikatoka kwenda kumpa kijana wa Mapokezi hela yake. Akanirudishia Chenji

Baada ya kurudi chumbani haina haja ya kuelezea sana yaliyokuwemo humo. Ila muhimu ni kwamba huwa natembea Na Condom kwenye Wallet ivyo sikuuza Mechi
 
Hawa wake tuliooa walianza ivi ivi mara kaacha bangili, mara hereni mara chupi mwisho mazimaaaa kafika ukija sasa kumuuliza kabila unakuta ni lile ambalo kwenu walikuambia sio la kuoa na wewe ndo ushafika
 
Ahah
Hawa wake tuliooa walianza ivi ivi mara kaacha bangili, mara hereni mara chupi mwisho mazimaaaa kafika ukija sasa kumuuliza kabila unakuta ni lile ambalo kwenu walikuambia sio la kuoa na wewe ndo ushafika
ahahaahahaha
 
Mkuu tulivuka salam??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
HIi siyo kimasihara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…