Arsenal oyeeeeee
 
Leo namba za uyo demu wako aliyekuuzia demu mwingine, si umesema yupo mwanza eeh fanya chap. Sasa
 
Umeuziwa malaya
 
Nimeacha kusoma pale nilipoona umeandika et wewe cha kwanza unatumia dk 40 nasema wazi wazi kabisa hii CHAI [emoji1] [emoji1787][emoji23]

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Muuaji ktk ubora wako, utashaa huko kwa Mungu
 
Pombe bwana inasaidia sana kuwala mademu kimasikhara.
 
Safi sana, dunia imekuwa ngumu sana na nyepesi sana. Aliyekuwa dem wako anakuunga kwa shost yake, life's strange nowadays.
 
Maisha yanakimbia sana
Mechi zinauzwa uoga wako tu
 
Mbona Kama huyo manzi aliyekuunganisha na manzi wa pili ni demu wangu!!! Ni msukuma ana jina huruma na amekuja Mwanza hii ni wiki ya pili kuelekea ya tatu.
Ulimgonga demu wangu we jamaa[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Mmmh
 
Hao ni Malaya Wana group lao, kwa nn unauza mechi.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…