nilikuwa nikiona vichaa wajawazito barabarani na wengne wana watoto nkawa najiuliza sana baba wa wale watoto,ila leo nmemfahamu mmoja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1][emoji1][emoji1] mbona hao walishaliwa mkuu sana.... Sema juma p maharage ndio ameleta habari mupya ya kula KICHAA[emoji134][emoji134]
 

Unaweza kuta me sio dogo kama unavyosema ila utakayo yakuta rome yaache rome ? we wanakukera nini madogo hawa ? we si uendelee na mishe zako za kutafuta hela,?..Kama kuwaweka hao wanawake washawaweka, haibadilish kitu, kama ni ma herpes washapata na vitu kama ivyo, huwez badilisha dunia nzima ikafuata, mtazamo wako kwa kigezo wewe una hela nyingi, Bilgates mwenyewe hafanyagi ivyo and he is super wealthy, we waache wafanye wanavyotaka, kama umetoa ushauri atakae sikia asikie ambae hataki usimlazimishe its a free country yo, hata kama una pesa BE HUMBLE MAN.... swali kwako mkuu: Ulishawah kuwa kiranja shulen kama umesoma lakini, au uvccm ?

key word: HUMBLE,
 

Alafu kuhusu msaada, mimi physically nipo okay, shule nishamaliza i dont pay school fees no more, and hata kama unahela nyingi i dont want no mans benjaminz i am financially stable, nakula nachotaka, nakaa napotaka, navaa nnachotaka and I can get any woman I want, nipo comfortable kabisa...msaada unaongelea wewe sijui upi, mana hata kuzitafuta hela najua mkuu, na napambanisha kwa Mungu alivyoweza kunibariki...So Mungu ni wa WOTE MKUU AMHANAGA UBAGUZI, unawadharau hawa machalii labda wako na vizuri kuliko wewe sio poa kabisa mkuu..
 
Mtu mmoja kawapanikisha watu kibao.... ilikua ni kufanya kitu kimoja tu, kumpuuzia basi ilikua inatosha, mnavyoendelea kujibu ndio mnampa power.
Kila akiingia akute 0 notification hakuna alie tag wala ku mention jina lake angeishia kuwa mpenzi msomaji na amani ikawepo.
 
Dahh mkuu usitaje jina mm apa sina amani ni mkoa gan huu ilikuwa mzee
 
Mkuu uyu so chizi Uyo mtu wetu wa kazi maalumu, na alikupenda ila kazi ilikuwa mbele kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…