Unachosema ni Kweli Mkuu, hakunaga urafiki kati ya mwanaume na mwanamke. Lazima atakutongoza tuu.
 
Kuna watu wana guts si za nchi hii aisee na anakuambia kabisa bila hivyo hainjoi, naungana na wewe wacha niwe mshamba siezi ruhusu kufanyia hivyo.
Watu hawatumii akili bhana hata hawafikili, kuna vitu vinafanyika hadi unasema huyu mtu anajielewa kweli...?
 
Hivi nikisoma leo asubuhi,halafu nikisoma usiku ninahesabika nimeusoma mara mbili huu uzi au mara moja au ni mara moja toka nilivyoanza kuusoma mwanzo ulivyoanzishwa?
 
JANA TU, NIKIWA NATOA HUDUMA KWA WATEJA gafla napita coridoni nikakuta atu kadhaa wamekaa kuangalia nakutana na kitoto kimoja umri kama 18y+rs, huu ndo ugonjwa wangu sijui nitaacha lin coz nauacha ujana kuja kwenye utu uzima maana nina 40+
Wamekaa na mschana mwingine namfaham na ndo alikuja kupata huduma. Kumbe ni rafiki yake, nikarudi ofisini mara paap akaingia,
Akanisalimia hta sikuitikia nikamuuliza rafiki yako yukowapi, aknicheka sana. Alivotulia nikamwambia we nipe namba tu usinichoshe hapa. Bsi nikawekewa namba nikamhudumia nikamwambia nisubiri getini kwa walinzi nakuja tunaondoka wote.
Nikamwachia kazi jaamaa yangu, japo nlikaa kama saa hivi wameganda tu getin
Nikawasha kimkweche changu wakaingia nikawambia twendeni kwanza tukale. Nikawapeleka sehem moja amazi. Kumbe mtoto keshapewa hint wal hakuwa mbishi nikapeleka lodge nikajilia
 
Ningesema Mimi wangesema mm Nina chuki na wanawake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…