Aisee tumefika pabaya sana,upo nje ya uzi yaani umekuja na mada mpya kabisa.
 
mzee baba baada ya lile tukio badae nilienda lab kufatilia ile sample yake ya damu mana huwa hazitupwi mapema kwaiyo nikamuomba jamaa wa lab anichekie vitu flani kama ivo pamoja na hepatitis panel, kwaio ngoma ilkuja neg. zote
Duh! Kua mkweli tu daktari, ulikumbuka kufatilia hivo vipimo, kwa sample yake au ndo potelea pwete.
 
Mzee hizo dawa zinaitwaje kama hutojali
 
kwani watu wa medical sio binadamu mzee baba? ata sisi tamaa tunazo sana tu kama nyie mzee
Kuna mmoja aliwahi kunambia et adi wewe unafanya mapenz kwenye mazingira hatarishi nikamwambia kwani mm niko je Kama wewe unafanya kwa nn Mimi?
 
pole sana kwa dhambi uliyojichumia
Pia ulimbaka mgonjwa wako na unahatia ya kujibu
Af nyie mafa***la mbona neno kubaka mnalimisuse sana yani kila kitu mnaiga mabasha wenu wa magharibi. No wonder mnasema binti wa form 4 nae et anabakwa wakati nyege zake zinasababisha avue chupi mwenyewe

Kwa hiyo hapo huyo maza amebakwaje sasa, au amelazimishwa? Basi tuseme Dr ndo kabakwa maana ametengenezewa mazingira mpaka ameshawishika.

Acheni uzwazwa wa kuiga kila kitu kwa hao matupinkele
 
Dokta Daktari Dr Dokita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…