Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Sina uhakika kama hii ni kimasihara ila ngoja niwaletee ivoivo tuu

-Daaah sijui nianzaje, ila ipo hv kuna siku nilikuwa lonely sana, stress nyingi mno....nikasema inabidi ntafute namna ya kujichangamsha

-Nkawasha TV, nkachomeka flash ili niangalie movie yeyote ile nipate burudani, ila nilikuwa nmeshaziangalia zote

-nikawaza tena, nifanye nn mm binadamu QuentinTarantino nipoteze mawazo haya na hizi huzuni zimekuwa nyingi sana (na wanasemaga ukiwa na stress jaribu kujichanganya na watu)

-nikawaza tena, niende wapi mie nipate company ya watu??? mm ni mpenzi wa movies and cinema na ni mpenzi wa sana wa bahari

-nikakumbuka movie nilioisubiria kwa hamu sana imetoka(ilihairishwa Mara kwa Mara due to covid-19) nazungumzia movie ya "THE LAST DUEL" by one of my favourite director Ridley Scott[emoji4]

-bac nikajikusanya na kuenda mlimani city kuicheki, ila nkawaza maybe nmtafute mwana yeyote nkaangalie nae, itakuwa poa zaidi, ila kila nnaye mpigia anasema yuko mbali au yuko busy, bac nkasema haina nomah....nimawaza tena au nimtafute demu yeyote anisindikize ili nisiwe mpweke huko niendako, ila nikakumbuka mademu wanasumbua wakati wa kuangalia movie maswali mengi hadi mtu unashindwa kuenjoy movie, nkajiambia piga chini hayo mawazo nenda mwenyew jikaze tuu kiumeni.....

-Bac nkaenda nkaangalia, ilikuwa ni film nzuri sana, ilishoisha nikatoka nje, sasa kwa ile baridi ya mule ndani na kukodoelea screen kwa muda mrefu, bichwa likaanza kuuma bhana, nikajiambia mbona nmeongeza matatizo sasa badala ya kupunguza nmeyaongeza

-nikawaza kurudi home ila Kila nikitaka niende home moyo unasita, kwasababu home Niko mwenyew tuu na wahenga walisema "ukiwa na stress usipende kukaa mwenyew"

-nkaona jambo la hekima ni kuenda baharini(ufukweni namaanisha) ule upepo wa bahari unasaidia kutuliza akili na kukupunguzia mawazo huku nikitafakari makuu ya uumbaji, ndo maana napenda kuenda ufukweni

-kwa stress zile nkasema kuenda mwenyew ufukweni itakuwa uongo, nkamkumbuka rafiki angu kipenzi Suzanna (jina la uongo), suzanna ana story nyingi na ni mchangamfu sana,ilibidi ntafute mtu atakaye nichangamsha sio mm nmchangamshe yy, bac nkampigia Simu, nikamuuliza kama anaweza akanisindikiza baharini akakubali, nkamsubiri tukaenda wote

-tulivofika tukatafuta sehemu tukakaa, tukapiga story nkaanza kuchangamka mixer ule upepo wa bahari na Yale mawimbi ya bahari, stress zikapungua, nkaanza kujiona na mm mtu....

-story nyingi sana za kuchekesha na kusisimua nikawa nmesahau kama nilikuwa na huzuni hii leo

-Jua likaanza kuzama taratibu nkaanza kuhuzunika tena kwasababu muda wa kuondoka umekaribia na mm sikutaka niondoke maana alinichangamsha sana, bac muda ukafika akasema anataka aondoke, bac nkambembeleza pale tubakibaki kidogo akakubali, then baada ya muda flani ivi nkamwona ana amka yuko kweny mood ya kusepa na sikuweza kumshawishi abaki tena kidogo

-Bac tukaondoka maeneo Yale tukaanza kutafuta usafiri, ila nikawa namwambia mm staki kuenda home nipo lonely sana na home hakuna mtu...

-kwa mshangao mkubwa akajibu na kusema "bac kama hutaki kwenda kwenu, twende home kwetu hakuna mtu wazazi wamesafiri"

-nkamkodolea macho then nkamuuliza "ntalala wapi"??
-Akajibu "kuna chumba cha kaka angu, utalala humo" hapo sasa nikawa sina sababu ya kukataa...

-nkashangaa hilo jibu sana na nikawa nimeduwaa kama bwege sina la kujibu

-akauliza tena "umekubali au"??

-kwasababu nilikuwa nna stress na yy ndo anaye nichangamshaga nkwambia "haina nomah" bac tukatafuta usafiri tukaenda...

-lakini njiani nilikuwa nna mawazo sana...

What if akinitaka kimapenzi?Itakuwaje??

What if wazaz wake au ndugu zake wakastukiza kuja???wakitukuta itakuwaje???

What if majirani wao wakaniona nae then wakawapigia simu wazazi wake???

-BAC PALE NKAANZA KUJUTA KUMKUBALIA NA STRESS ZINGINE ZKAONGEZEKA[emoji24][emoji24][emoji24]

-bac kwa sababu aliniona nna huzuni akanzisha story ila mm nilikuwa najibu "ndio" tuu....
hata angeuliza.........."NIGGA U GAY"?? nngejibu "ndio" tuu aisee[emoji28][emoji28](jokes)

-Bac tukafika, nikakaribishwa ndani akanikaribisha kinywaji ilikuwa ni soda ile nadhani, nikakataa nikwambia sinywagi soda

-akanikaribisha chakula ilikuwa ni wali nyama na mboga za majani, nikwambia toa hizo nyama niachie huo wali na mboga za jamani, mm situmiagi nyama

-Akazidi kunishangaa tuu, akauliza "mbona kila kitu hutumii"?? Nkamwambia " nilishawahi kukwambia hayo yote labda umesahau tuu"

-Tulifika saa 2 ila tulipiga story mpaka saa4 akasema amechoka anataka akalale, bac mm nkaelekezwa room yangu ntakapolala ilipo, kabla ya kulala nikaenda kuoga kwanza then niliporudi nikajaribu kulala sema sikuweza maana nilikuwa ugenini, hofu nyingi, kwaio nkautumia ule muda vizur kuwazia uelekeo wa maisha yangu

-majira ya saa 5 usiku nikasikia mlango unagongwa....nikawaza usikute ndugu zake wamerudi ghafla, bac nika panic...

-bac nkasikia unagongwa tena kwa nguvu, hapo ndo nika panic zaidi nkajisimea Leo ndo umetimia ule usemi...
"SIKU YA KUFA NYANI"[emoji28][emoji28][emoji28]
-ulivogongwa Mara ya 3 Suzanna akaongea kwa upole " Tarantino fungua"
-nkafarijika kujua kwamba alikuwa ni Suzanna, ila bado wasiwasi ulikuwepo nilizani maybe anataka kunambia wazaz wake wamerudi, hence nijifiche

-Bac kwa sababu nilikuwa nmevaa boxer tuu, ilibidi nivae Shati ili kuficha kidogo utupu wangu(kumbuka Suzanna ni rafiki angu kipenzi staki anione kama namtaka kimapenzi wala sina hayo mawazo kabisa) bac nikafungua mlango, alikuwa amevaa kagauni cha kulalia kafupi sana hadi ghafla mapigo ya mbio yakaenda moyo, sikumuuliza unataka nn nikawa namkodolea macho tuu

-akasema "mbona upo kimya"??
-nikajibu " sina usemi suzanna, ongea ww, unashida gani"??
-akakaa kimya kama nusu dakika hv tukawa tunaangaliana tuu (aisee kukodoleana macho(staring at people) nipo vizuri sana yaan saaana) akasema
"anaogopa kulala peke ake"

-nikamuuliza "kwann, siku zingine upo peke ako unalalaje"??
-akasema " siku zingine sipo peke yangu, nampigiaga simu rafiki angu anakaa jirani anakuja tunalala wote"
-nikamuuliza "kwann Leo hujampigia"??
-akasema "leo nimesahau cause nipo na ww"??
-nkamwambia " enhe kwaio inakuwaje sasa"??
-akajibu "inabidi uchague uje kule room kwangu au mm nije huku"??
-nikawaza bora niende kwake nisimsumbue kuja huku, nkasema "poa nakuja room ako"
-ghafla kabla hajaanza kuondoka mlangoni nkamuuliza "kwaio sasa nambie kabisa nikija huko nalala wapi, chini au juu?? Ili kama ntalala chini nijiandae kabisa kisaikolojia"???
-akanijibu " bhana ww mbona maswali mengi, we njoo tuu"

-Bac nikawa nawaza sana itakuwaje, akaja tena akauliza "unakuja au"?? Nkamjibu " nakuja, subiri kidogo" nkajikusanya nikaenda, nkajisemea "liwalo na liwe"

-Bac nilienda room ake pale nikawa natandika shuka chini sakafuni na mto nimeuweka pale chini nmejiandaa kulala pale chini mzee

-Mara nikamsikia anasema "ww kwann unataka ulale hapo chini, si uje ulale na mm"?? Nkamjibu "ww usijali"

-akasema tena kwa nguvu "hapana njoo tulale wote hapa kitandani"??
- nkamuuliza "kwan shida iko wapi suzanna"??
-akajibu "ndio kuna shida kwann ulale chini, unaniogopa au"??
-nkamjibu "hapana,mbona mm kamanda nakimbiza usingizi hapahapa chini" nkamwambia tena "tukutane asubuhi, mm nalala hapahapa chini"
-akasema "hapana bhana mm nmekuita ulale na mm kitandani sio chini" bac alivoona nakaza, bhana akashuka kitandani kwa nguvu akanipora lile shuka na ule mto nakajiambia "huyu kweli amejiza titi"

-nkamuuliza tena "aisee inakuwaje sasa sisi jinsia tofauti tunalala kitanda kimoja, nikipandisha midadi usiku itakuwaje"???
-akajibu "ntakupiga vibao midadi iondoke" alijibu huku anacheka...

-hapo mi nkajua tuu nshapatikana
(SUZANNA ALIKUWA RAFIKI ANGU KIPENZI TUNAEHESHIMIANA, SIKUZOTE SIKUWAHI KUMTAMANI KIMAPENZI JAPOKUWA ALIKUWA MREMBO WA SURA NA MAUMBILE LAKINI NILIUPENDA URAFIKI WETU ZAIDI KULIKO KU ENTERTAIN MAWAZO YA KUMTONGOZA,hapa najua wanaume wachache watanielewa)

-bac nikapanda kitandani, ila nkawa sijalala nipo macho tuu
-sikutaka kuanza kumshika, japokuwa alikuwa anatamanisha, bado niliendelea kumheshimu kama rafiki maana hadi hapo siku jua intentions zake
-nikawa macho hadi saa 7 usiku, ndipo mkojo ukanibana, nilipoamka ili niende chooni, nkasikia sauti inasema "unaenda wapi"?? Nikamjibu "naenda chooni, vp mbona bado hujalala"?? Akajibu "nna mawazo kadhaa ndo maana bado sijalala" mm nkajibu "oke, ila jitahidi kulala, au na ww una 'insomnia'(matatizo ya kukosa usingizi) kama mm"??
-akacheka akajibu "hapana", mm nkamwacha nikaenda chooni

-nilivorudi nikaona taa ya chumbani imewashwa wakati mm sikuiwasha, nikapata wasiwasi, nilivoingia chumbani nikamkuta Suzanna amesimama na akavua lile gauni lake fupi mbele yangu....
-Nkajisemea kimoyomoyo "I'LL BE DOUBLE DOG DAMNED"

-aisee suzanna ana mwili mzuri sana, siku wahi kufikiria Suzanna angekuwa na mwili mzuri kiasi kile


-nkamuuliza " UPO SERIOUS "??

-hakujibu, Mara akapiga hatua mbele yangu akanikamata mashavu yangu kwa mikono yake akanivuta uso akanipiga denda zito, aisee hapo mwili wote ukasisimka hadi vinyweleo vikasimama(ila mashine bado imelala hapo)

-sikusita nikamkamata mata--ko yake nikayabinya, aisee ni malaini ile hatari yaaan ni soft saaaana, mwili ukasisimka tena ila chakushangaza mashine bado imetulia tulii
-Nkambeba nkamlaza kitandani kama malkia wangu mpendwa, nikaanza makeke yangu ya hapa na pale, nikaanza kumpiga mabusu mwili nzima, nilimbusu kila sehemu sensitive ya mwili wake, nilinyonya mazima na kum--tia vidole kweny K yake akawa anapiga makelele anataja jina langu "Jaman Quentin, Quentin, Quentin aaaaaaah" nilipotaka nianze kuipiga busu K nkakumbuka juzi nilitoka kusoma madhara ya watu wanaofanya hizi mishe, bac nikajisemea "achana na haya maswala Quentin"

-Bac tukachezeana sana, ikafika wakati sasa wa kuingiza mashine, mashine ikawa bado imelala( aisee nilipigwa na butwaa sana,niliona ndo naelekea kuaibika)
-bac sikupoteza muda maana angejua, nikaendelea na kumchezeachezea ila bado mzee mashine haisimami, nkajaribu sasa kuilazimisha ivoivo iingie, nikizani maybe kuigusisha na K itaisisimua isimame lakini wapi ikakataa bhana

-nikaanza kuona kama Suzanna amehisi kuna kitu hakipo sawa, alipochunguza akagundua mzee, na yeye akajaribu kuishika na kuiingiza kweny K ikashindikana

-AISEE KILICHOFATIA NIKAVAA BOXER, NIKANYANYUKA KWA HUZUNI KUBWA NA KWENDA KUKAA KWENY KITI CHA PALEPALE CHUMBANI HUKU NIMESHIKA KICHWA NA NMEANGALIA CHINI (SIKUWEZA KUANGALIA JUU MAANA NILIOGOPA KUKUTANA NA MACHO YA SUZANNA KWAIO NIKABAKI NATIZAMA CHINI TUU KWA AIBU SANA)

MASWALI MAZITO YAKAWA YANANIJIA..
-HV, HUU NDO MWANZO WA USHOGA???
-HUU NDO MWANZO WA KUITWA HANISI???
-SUZANNA ATANICHUKULIAJE MM NILIESHINDWA JAMBO DOGO KAMA HILI??
-SUZANNA SI ATANIDHARAU SANA NA ATANIHISI SIJAKAMILIKA NA UKARIBU WETU UTAISHA???
-JE AKINITANGAZIA KWA MARAFIKI ZANGU ITAKUWAJE???

-Aisee ntaendelea kesho nmechoka kutype, daaah!

Daaaah aise pole sana najua uliumia sana je ndio mara ya kwanza kukutokea hiyo hali!!?huenda labda ulikuwa na mawazo mengi sana!ukiwa na mawazo mengi uhodari pia hupungua
 
-Wazee bac ndo ivo nikawa nmekaa pale kweny kiti kile, mawazo mengi, sikujua la kufanya maana nilijua ndo bac tena nshaaibika
-kilichokuwa kinanipanikisha zaidi, Suzanna alikuwa ananiangalia tuu alaf haongei kitu kama dakika tano hv
-mwishowe akafungua mdomo akaongea "Quentin usijali ni jambo la kawaida"
-mm nikawa kimya tuu nmeinamisha kichwa chini, nakuna nywele tuu, sina la kujibu sina la kufanya
-akaongea tena "umesikia Quentin usiwaze sana ni jambo la kawaida"
-mm nikajibu kimoyomoyo "we ushawahi ona wapi mwanaume mkamilifu hasimamishi mashine"?? Huku nikitikisa kichwa na bado nmeangalia chini
-bac tulikaa pale kimya kama dakika 10,
Akaongea tena akasema "kwaio vp unakuja kulala au"??
-nikakaa kimya kidogo, kisha nikajibu kwa sauti ya chini sana "ndio"
-nikawaza kweli nkalale tena pale na yeye, si bora tuu nirudi kule nilipokuwa mwanzo
-nka reason kurudi kule ndo litakuwa jambo la hekima kufanya kuliko kulala nae kitanda kimoja baada ya tukio la aibu lililonikuta
-bac baada ya muda nkanyanyuka nikawa kama naondoka, Suzanna akauliza "unaenda wapi"?? Nkajibu " we usijali" akauliza tena "ww unaenda wapi"?? Nkamwambia "narudi kule nilipokuwepo" bac akakaa kimya, akawa hana usemi, mm nkarudi ile room, nikajilaza kitandani

-Aisee ule usiku ilikuwa mrefu sana, yaan sana, usiku uliojaa mawazo mengi na maswali mengi na kila moja halina jibu

-Alfajiri saa12 chaaaap, ilivofika Nika amka nikaenda kuoga niondoke asubuhi na mapema
-nikaenda kumuaga Suzanna ambae bado alikuwa amelala, akanambia "mbona unaondoka mapema ivo"??, nikamjibu kwa sauti ya chini sana huku nikiangalia pembeni sikutaka kumwangalia usoni, nkajibu "we usijali", akauliza tena "si usubiri tunywe chai"?? Nkamjibu tena kwa sauti ya chini "we usijali"

-Bac mm chaap nkachanganya miguu, nkatafuta usafiri, Huyo hadi home

-nilivofika home mawazo yakawa mengi sana, na sikupata amani kabisa, nilivoshika simu nkakuta SMS ya Suzanna akisema eti "Quentin usiwe na mawazo sana, sina fikra mbaya juu yako" nkajisemea kwanguvu pale sebuleni "ww umdanganye nani kum'm'make"

-nkaona tena SMS nyingine inasema "usijali, your secret is safe with me"
Ndo nkaropa tena kwa nguvu pale sebuleni "kum'm'make walahi, demu ashanichukulia hanisi mm"

-nikawa nawaza pale sebuleni, nifanyaje hii hali iishe, bac nkakumbuka kuna mwanang flani ivi tunapenda kushauriana mambo ya ukweli but sometimes tunashauriana hata upumbavu, bac nikampigia simu nikampanga tukio zima lilivokuwa

-bac yy akawaza kidogo, akanipanga akasema "sikia mwanang, we usiogope wala nn, jioni nitakupitia hapo chaap tuu tuende sinza kule mitaa ya bitches, kule ndo itajulikana kwamba ndo tayar ushakuwa shoga au bado"

-nkamjibu "acha us'nge ww mi sio shoga"

-akasema "mi sijui mzee, ila we jiandae tuu hapo tuingie usiku" nkamwambia "haina nomah"

-Bac usiku ukafika tukaingia maeneo, nikatafuta bitch anayenifaa, nkaongea naye vizur, nkamwelekeza kila kitu anachotakiwa kufanya, bac tulivofika room yule mdada akanza mambo yake(nyonya mashine) kwa Bahati nzuri bhana MASHINE IKASIMAMA, ilivosimama nkafurahi hadi nikawa najichekesha(nikajisemea kimoyomoyo "bado nipo kweny list ya wanaume"), yule mdada akaniuliza "vp mbona unacheka"??, nikamjibu "laiti ungalijua mambo yaliyonitokea"
-bac nikapiga kimoja chaap, nikaondoka, sikutaka kuendelea tena maana nilikuwa natafuta tuu ile satisfaction kwamba bado naweza kusimamisha mashine, nilivoona imekubali bac nikajisemea "MISSION COMPLETE"

-nikampitia mwanang, mwanang akaniuliza "enhe vp, shoga au sio shoga"
Nikamjibu "mwanang, mi bado mwanaume, tena mwanaume wa shoka kum'm'make"

-bac zile SMS za Suzanna sikuzijibu aisee, na kuna zingine alituma tena sijazijibu hadi leo.....daaaah! Ndo ivo wazee.

Sema kwa kias umezingua sana mwanangu inaonekana hujikubal alaf hujijui inaonekana ww bado ni bwana mdogo sana hauna utaalam na mbususu
 
Ongeza tangawizi kidogoo
Kwamba ni
IMG_20211029_064227.jpg
 
Ilikuwa jumamosi ya week iliyopita nipo zangu kitaa naenjoy free time mara paaaaap naingia home naambiwa mama fulani(jirani) alikuja kukuulizia mda c mrefu tukamwabia ulitoka! Nikasema Dah ngoja nimcheki.

Basi nikaenda maana siyo mbali na nyumbani. Nilivyofka nikaambiwa mama fulani(mdogo wake jirani Age 36 yrs) anaomba umpelekee mzigo wake(sabuni ya unga ya kindoo kidogo) ilikuwa apitie akitoka kazini ila amefikia nyumban kwake so hatakuja coz amechoka.

Nikaona siyo kesi nikachukua ule mzigo nikaagiza bodaboda vuuuuu! Mpaka kwake nilivyofika nikakuta mlango umefungwa lakini mziki unalia ndani nikajua amelala nikabisha sana nikishindana na sauti ya radio[emoji16][emoji16] mwishowe nikasikia sauti ikitokea bafuni(bafu la nje) nakuja lighton!! Ahh kumbe yuko bafuni! Nikaona nichill nimuwait.

Muda haukupita sana akatoka.
Malizia bc
 
we boya kweli kwahiyo kimasihara yako unafikaga na kuchomeka tu? utakua mpiga nyeto sio bure
Ww boya unayoyafanya kwa kujichua unafikiri kila mtu anafanya tena unatumia saut ya huyo jirani yako akianza kupelekewa moto
 
Tongue Kiss kali, ananiapasa, na ananibusu na kuninyonya huko. Raha sana. Sikujua kuwa mwili wangu una raha kiasi hicho. Na mimi sina haya tena, nanyonya! Halafu anajua mchezo wa KiHaya. Siku zote nilidhania ni chafu na dhambi kumbe hakuna lolote raha tupu!
"siku zote nilidhani ni chafu na dhambi kumbe hakuna lolote raha tupu!"

legalization of sin.....pathetic😞
 
KIMASIHARA MAKAMBI YA WASABATO NA KUCHEZEA KICHAPO

KIBWAGIZO
“…..Mtoto Sonia mimi, nimekuzimia. Katika kukupenda mimi nimeonesha nia. Njoo soniaaa, soniaaa, mi nakupendaaa, kupendaaaa, njoo soniaaaa,soniaaaa tupeane dendaaaa, tupeane dendaaa x2..”

UTANGULIZI
Ilikuwa ni siku Ijumaa (Sikukuu) nikiwa getho nikijiimbia mwenyewe wimbo huo , huku nikimsubiri kipenzi changu Nyanjiga, toto la kijita huko Majita. Huyu ni binti niliyekuwa nasoma nae kidato cha Tatu, yeye akiwa F3B, mimi nikiwa F3A katika shule ya Sekondari Nansimo (siyo jina halisi).

Huyu mpenzi wangu, tuliahidiana kukutana saa 5 asubuhi, kwenye makambi ya Wasababtho yaliyokuwa yanaendelea jirani na nilipokuwa nimepanga. Lakini hadi muda huo unafika alikuwa hajafika.

Nilianza kupata wasiwasi baada ya saa zima kupita bila kufika, lakini bado moyo ulinambia Nyanjiga hawezi kuniangusha. Na mara nyingi alivokuwa akipata dharura alikuwa akimpa kimemo rafiki yangu Kanywagale ambaye walikuwa wanaishi nae jirani. Ila safari hii, mambo yalikuwa tofauti. Saa 6:13 bila kumuona Nyanjiga wangu. Hatuna simu na siwezi kumpata kwa namna yoyote ile.

Nilihuzunika sana siku hiyo, lakn ghafla akili ikanambia nenda barabarani ukamsubirie huko, akitokea uje nae upate Kanchude. Ukweli nilienda barabarani, nikawa naangaza angaza ili nimuone Nyanjiga wangu, bahati mbaya sana hadi namaliza saa zima na madikika mengi, Nyanjiga hakuonekana.

Ilivyofika saa saa nane nikiwa nimekodolea upande anaotoka Nyanjiga niliona mdada mmoja kwa mbali, nuru ikaanza kuonekana usoni, tabasamu likarejea, lakn kadri yule binti alivyokuwa akisogea nilitambua kuwa si mwenyewe. Ni mwingine tu.

Njaa ilianza kuniuma, nikaamua nilirudi tu nyumbani, nipate labda chochote. Kama mjuavyo ndugu zangu cha tumboni ndo kinashikilia cha kichwani. Nikaamua kuondoka. Nilivofika kwenye maeneo ya makambi nikaamua kumtafuta Nyanjiga wangu! Zuungusha shingo, zungusha wapi? Zungusha shingo, zungusha wapi? Duu. Nikaamua kwenda tu Getho.

Nikiwa nakaribia getho, ghafla roho ikanambia emu rudi mara ya mwisho ukaangaze tena labda anaweza kuwa anakuja. Kweli nilirudi nikakaa barabarani nikiwa nakodoa sana, macho yameshauma, njaa inauma lakini Nyanjiga hakutokea. Zile hisia zote za usiku kwamba leo nitakuwa na Nyanjiga zimekwenda bila kujibiwa. Ule wimbo wa mtoto Sonia, leo nimeimba bure daah, kufanya usafi na kutandika kote kule? (Godoro naweka kwenye jamvi). Hadi saa 10 na madakika mengi nikaamua kuondoka tu nikiwa nimekata tamaa.

Nilifika nyumbani, nikawasha jiko la Mchina nikapika ugali, lakini kwa kweli ni kama hamu ya kula haikuwepo tena. Nyanjiga amenitawala, mara nimlaumu kwa kunidanganya, mara nimuone hana kosa. Mara nawaza tuachane, mara naona tuendelee tu. Nitamuacha kwa kosa gani, lakini kwa nini hakuja? Ahh, anyway nikakomba mboga, nikanawa na kutoa vyombo, hata bila kula vizuri. Baada ya hapo nikajilaza kwenye kigodoro changu japo nipumzike.

Nikiwa kwenye kigodoro hapo, hisia zilianza kunijia, mwili ukawa unahitaji Kanchude, ikafikia hatua naona kabisa nashindwa kuutawala uume wangu mwenyewe. Natamani Nyanjiga aje anioke lakini ndo hawezi kuja. Jamani kweli mapenzi na shule ni mlenda na chai.

xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

MUHTASARI KUHUSU MAKAMBI YA WASABATO.

Jirani na nilipokuwa nakaa, yalikuwa yanafanyika makambi ya Wasabatho ambayo yalikuwa yahitimishwe Jumamosi. Ili Jumapili kila mtu arudi alikotoka. Na Baadhi ya Wanamakambi walikuwa wamefikia pale nilipokuwa nimepanga. Walikuwa kama 11 Wamama 5, na wadada 6. Wanaume wao walikuwa wanalala kwenye ghala la pamba (Wao wanaita Stoo) na hapo stooni ndo makambi yalikuwa yanafanyika jirani na Kanisa la wasabatho la mahali hapo. Wenye ndugu walikuwa kwa ndugu zao. Nafikiri wasabatho wanaelewa. Ulikuwa Mkutano haswa.

Xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

NAMI NAENDA KUSHIRIKI MAKAMBI YA WASABATO

……..Nikiwa kwenye kigodoro changu hapo, hisia za kufanya mapenzi zilianza kunijia, mwili ukawa unahitaji Kanchude, ikafikia hatua naona kabisa nashindwa kuutawala uume wangu mwenyewe. Natamani Nyanjiga aje anioke lakini ndo hawezi kuja. Jamani kweli mapenzi na shule ni mlenda na chai……’ sasa endelea….

Ilikuwa ni Saa 12 Kasoro, niliingia eneo la makambi ili niende kuushitaki uume mbele ya mchungaji. Maana nilifika pale nikiwa nimeweka mikono mfukoni, na hata nilivyo kuwa natembea ndugu, wanaume wenzangu mtakuwa mnajua. Hivo sasa! Nilisimama kona moja hivi, ghafla wimbo fulani ukapigwa, naukumbuka kidogo;

‘’ Mimi hapa natamani kumuona Yesu, akija kwa fahari nao Malaika. Usitamani ya dunia, kwani hayo ni ya muda kitambo, uifikirie kesho, ili nawe uwe mshindi. Ewe mwenzangu kazana, ili uwe katika lile kundi, litakalo vikwa na Yesu taji la Johari” (Hapa naomba uingize sauti ya kisabatho wakiwa wanaimba)

Kipindi huo wimbo unaendelea ghafla aligeuka dada mmoja, tukagonganisha macho. Ni moja ya wale wadada 6, waliokuwa pale kwa mother house wangu. Haikuwa sura ngeni kwa sababu tulikuwa tunaonana, nikitoka shule. Basi tukatizamana kidogo, afu akatoa uso. Mi jicho langu likabaki kwake. Then, ikaja sijui ndo kufungua sabatho. Basi wakafungua, saa 12 hivi. Walipomaliza nyimbo zikaendelea.

Katika kufungua sababtho, Yule mchungaji kuna maneno aliyasema, ambayo sikuyapenda, kama alikuwa ananiambia mimi jambo fulani. Kichwani, nimeanza kupanga namna ya kumpata huyu mdada, lakini mchungaji anahimiza maadili na kuepuka zinaa na uzinzi kwenye makambi, daaaah.

Ukweli neno liliningia, ila sasa nitafanyaje? Roho i-radhi, lakini mwili ni dhaifu. I must try the best of my luck.

Tulitawanyika, wakaanza kuondoka mimi nikamfuata Yule dada, tukaanza kwenda nae nyumbani, tumekaribia kuingia ndani ya uzio (Uzio wa Matete), nikamwambia naitwa Lugumya, sijui unaitwa nani? Naitwa Nyamumwi! Okay sawa.

Nyamumwi mimi nakupenda bn, na ukweli katika makambi haya sijaona mwanamke anayevutia kama wewe. Ikiwezekana….. (akanikatisha… mama huyo anakuja). Akakimbia kuingia ndani, huku akinambia baadae kwa sauti ya chinichini.

BAADAE INAFIKA.

Ikiwa ni mida ya saa mbili usiku nikaamua kukaa sehemu ambayo wakitoka lazima niwaone. Kweli walitoka, wote 11 plus wa pale nyumbani. Wakaenda, mi nikiwa ninachora ramani walipoenda kukaa, nikavutavuta kidogo lakini moyo ukiwa unanimbia mbona mida ndo hii. Lakini namtoaj pale kwenye kundi la Wenzake.

Akili ikiwa inaendelea kuchakata namna ya kumpata na kuongea nae. Nikapata wazo, tumia binti wa mother house, nikamwita alikuwa kwenye makambi pia (Msichana wa Darasa la 7), nikamuuliza unamfahamu Nyamumwi, akanambia ndiyo. Naomba ukamwite basi, mwambie namuita. Akasema poa.

Kweli wajumbe, akanifanikishia, akaja, tukatafuta kagiza, kule kwenye kagiza nilijaribu kumgusa akakataa. Akanamabia tutakutwa, wewe tangulia nyumbani, nitasema nakuja kujisaidia afu nitakuja kukusikiliza. Sawa? Nikasema sawa! Akaondoka

Mi nae mdogo mdogo getho, mlango nikaacha wazi. Kila baada ya dakika 3 nilikuwa natoka kwenye kagodoro kwenda kuchungulia, hollaaa, dak 2 nachungulia hollaa, nikaanza kujisemea ya Nyanjiga yanajirudia. Wadau hapo, uume hautambui tena kama kuna mtu anaitwa Nyanjiga bali unamtambua Nyamumwi. Ukawa unasimama, naukunjia kwa nyuma, naubana na miguu (Wanaume hii mnaijua vizuri tu hahahaha). Nikaamua sasa nikasimame mlangoni kabisa.

Sasa nikawa natoka mlangoni naenda nje kumchungulia kama anakuja, huku nikitembea uume umebanwa kwa nyuma. Chungulio la kwanza likuwa kapa, la pili kapa, ila la tatu, ukweli nilmuona anakuja. Kiroho cha hofu kikanipata, nikakimbia fasta kurudi kusimama kwenye mlango wa getho.

NYAMUMWI ANAINGIA GETHO NA KULIWA KIRIKIBOY, LUGUMYA APATA KICHAPO.

Alivofika, nikamshika mkono nikamkaribsha ndani, nikarudishia mlango ila sikuufunga. Tukakaa kwenye kigodoro changu, mimi nilichofanya ni kumlaza tu kwenye hicho kigodoro, tukalana mate, nikapenyeza vidole kwenye Underskirt kuitafuta chupi, kweli nikapata chupi nikaingiza kidole nikachezea chezea.

Kidogo tu akanambia ngoja nivue, akavua chupi tu, nyingine akazisogeza kwa juu, lakini maziwa nilikuwa nayashikia kwenye nguo humo humo. Mi nilivua, nikabaki na pensi, goma lilivoanza nikaivua kabisa hiyo pensi. Kipindi hicho hatukuwa tunavaa chupi. Nikaingia nikaanza kuchakata, yaani wajita wanakatika wewe asikwambie mtu. Waliowahi kuwala ni mashahidi.

Tukiwa tunakulana kumbe dirisha moja nilikuwa sijafunga top, zimebaki zile nyavu za kuzuia mbu, dirisha lenyewe lilikuwa dogo na chumbani kulikuwa giza na kimwanga hicho kidogo cha dirisha.

Ambacho hatukujua kipindi anakuja kuliwa, kumbe mtoto wa kiume (form 1) wa yule mother house alimuona. Kwa hiyo akamfuatilia na kubaini kuwa yuko room kwangu. Akaenda kumtonya mama yake. Sisi hatuelewi tunaendelea tu na mambo yetu. Maana nilipiga cha kwanza, nikaunga kutafuta cha pili.

Sasa utamu ukiwa umekolea, mtoto akawa anagugumia, kwa kilugha inulileeee, inulileeeee, inulile Lugumyaaa!, lugumya nanaaa, nana lugumyaaaa, lugumya aoooo, aoooo weee, aooooo weee, nkola lugumya, nkolaa enikwendaa, unana kisi wee, ahahhahahaah, Nyamumwi awe, basila wee! Ulyaki sinu go! Hahahahah! Mi nikawa napump tu. Yeye anaendelea kuongea kilugha chao, wajita nafikri wataelewa.

NACHEZEA KICHAPO.

Nikiwa naendelea kuyumba kwa mtani wangu wa majita Nyamumwi, nimejisahau kabisa kama tumejiiba tu, kumbe mother house alikuja na fimbo akasukuma mlango taratibu akaingia. Nilivyorudisha makalio juu ili nipush kuingia ndani nikakutana na kiboko huko juu na kushuka nacho. Pyaaa!, kingine tena pyaaaa!

Nikapiga kelele, mamaweeee, mamaweeee, nikajitoa nikachezea kichwani, nikapitia surauali kwenye kamba, kumbe nimechukua koti. Nikawa nakimbia navaa naona mguu haungii. Nikaingia kwenye chumba cha mpangaji mwenzangu ambaye alikuwa ni wanafunzi pia. Mguu huko kwenye mkono wa koti sehemu nyingine nimefichia makalio. Hakika niliumbuka. Jamaa akiniona, anacheka afu mm natetemeka, kukamatwa na mother house. Nitasomea wapi? wazazi wangu wakijua? Shuleni wakijua? Daaah!

Nikafungiwa kwenye hicho chumba, mother akaamru kifunguliwe hatukufungua. Akaongea sana hapo. Akanambia, kesho nihame hapo kwake. Asubuhi kulivokucha nikaingia room yangu, nikachukua suruali nikavaa, nikaenda kwa binamu yangu alikuwa anakaa kwenye hicho kijiji. Jumapili, wale wakaondoka. Mi nilirudi jioni. Nikawa namkwepa. Akaniona akaniita, nikaenda. Nilivofika, nilianza kulia, akanionea huruma. Nikabaki pale hadi nikamaliza Shule yangu.

Nyamumwi sijawahi kuonana nae tena. Yule jamaa niliyeingia chumbani kwake na koti badala ya surauali, akawasimulia wadau. Wakawa wananitania kwa jina la Bwn Kakoti. Nyanjiga yeye, kumbe aliugua maralia, ndo maana hakuja.

Naomba kuwasilisha

Lugumya.
Niko nashuka taratibu na comments

yapata mwez sasa nasoma comments ....ila hii imenichekesha sanaa usiku huu[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Sisi wa mjini kwenye mahospital tulizaliwa na kutailiwa tukiwa wadogo,hao wenye mizigo wengi walikulia katika hali fulani ya kuchelewa kukatwa.wengine mpaka wamekuwa watu wazima.nimejiganyia kautafit nimegundua hivyo ila sihamasishi msiwakate wanenu
 
Tafiti mbalimbali zinaonyesha kwamba wastani wa Maumbile ya Uume kwa wanaume walio wengi duniani Ni urefu wa Inch 5.45

Ambapo,
Kutokana na mtizamo wa Wanawake walio wengi duniani jinsi wanavyoyachukulia maumbile ya wenza wao,
Ukubwa wa maumbile umeweza kugawanywa katika makundi mbali mbali
1. MKUBWA
- Uume mkubwa Ni kuanzia inch 6.3 MPAKA 7.1
NB: kuanzia inchi 7.1 na kuendelea, inachukuliwa Ni mKUBWA zaidi (extra large)

2.KAWAIDA
-Uume wa kawaida Ni kuanzia inchi 5.5 MPAKA inchi 6.2
NB: kuanzia inchi 5.5 kushuka chini, inachukuliwa Ni NDOGO.

3. MDOGO
-Uume mdogo Ni kuanzia inchi 4.6 MPAKA inchi 5.49

4. MDOGO ZAIDI
-Uume mdogo zaidi ni kuanzia inchi 4.5 kushuka chini

Ambapo,
- Wanaume wenye uume mdogo zaidi wakiwa na wastani wa Inch 3.8- NORTH KOREA
-Wanaume wenye Uume mkubwa zaidi wakiwa na wastani wa inchi 7.1- CONGO DRC

Pia, utafiti unaonyesha kwamba
[emoji117]Bara la AMERIKA KUSINI ndilo linaloongoza DUNIANI kwa wanaume wengi wenye Uume mkubwa zaidi.
- EQUARDOR inch 6.9
-VENEZUELA inch 6.7
-COLOMBIA inchi 6.7
-BOLIVIA inch 6.5
-BRAZIL inch 6.3
-PERU inch 6.3

[emoji117]Bara la ASIA ndilo linaloongoza DUNIANI kwa wanaume wenye Uume mdogo zaidi duniani
- NORTH KOREA inch 3.8
-INDIA inch 4.0
-THAILAND inch 4.0
- UFILIPINO inch 4.2
-TAIWAN inch 4.2
- SOUTH KOREA inch 4.3
-CHINA inch 4.3
-JAPAN inch 4.3
-VIETNAM inch 4.3

[emoji117]Barani Africa,
Uume mkubwa nchi zinazoongoza Ni -CONGO DRC (7.1 inchi),
-GHANA (6.8 inch) ,
-SOUTH SUDAN (6.4 inch)
NB: Tanzania haimo, Tanzania Ni inchi 4.56

[emoji117]Barani ULAYA,
Uume mkubwa nchi zinazoongoza Ni
  • HUNGARY inchi 6.5
  • CZECH REPUBLIC inch 6.3
NB: Uingereza haimo, Uingereza ni inch 5.5

[emoji117]Barani AMERIKA KASKAZINI,
Uume mkubwa nchi zinazoongoza ni
-JAMAICA inch 6.4
-PANAMA inch 6.4
-POERTO RICO inch 6.3
NB: MAREKANI haimo, MAREKANI Ni inch 5.0

[emoji117]Barani AMERICA KUSINI,
Uume mkubwa nchi zinazoongoza
-EQUARDOR inch 6.9
-VENEZUELA inch 6.7
-COLOMBIA inchi 6.7
-BOLIVIA inch 6.5
-BRAZIL inch 6.3
-PERU inch 6.3

[emoji117]Barani ASIA,
Uume mkubwa nchi zinazoongoza ni
- SINGAPORE- Inch 4.54
-MALAYSIA inch 4.52
-HONGKONG inch 4.41
-BANGLADESH Inch 4.41
View attachment 1808358
Nani alikuwa anawapima??.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom