jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,350
Aliyeenda Roma ni huyo mtawa siyo mleta Uzi, umemnote vibaya mkuu,
My apology
Mkuu hapa hatupo kwenye somo la muandiko, nikurekebishe, sista ndiye aliyeenda Roma (Vatican ndiyo inayoongoza dunia ukute sista wetu yupo Vietnam au Chile anahubiri injili ya Kristo, dah!)....pia naona hujawahi kuandika au kuongea kwa HISIA KALI wewe! juma p maharage kaandika kwa hisia kali. juma p maharage popote ulipo big up, swali langu kwako je, ulendelea na wito wa na kupewa sakramenti ya upadirisho au ulikatisha ndoto ya mzazi wako! Najua jinsi ya kumuita mtu uliyepotezana naye kama utapenda njoo PM!
Mwandiko ni muhimu sawa mkuu,
Angekuwa anaandika kwa mkono tungekubali,
Ila hapa anaweza kuandika na akapitia upya kabla ya kupandisha jukwaani
Narudia tena ni muhimu sana uandike vizuri na ufikishe ujumbe wako vizuri
Watu vilaza ndio huwa wanaandika vizuri kwa taarifa yako....ila umri, mazoea ya miandiko ya kuchat nk, nadhan utaelewa nina maana gani!
Nani kakwambia? Kuandika kwako vibaya ndo unajiona smart?
Yes watu smart wanaandika vibaya ila wakiwa wanaandika kwa mkono kwa sababu kasi ya kufikiria haiendani na mkono
Ila kwa hapa yaani hizo story tena kwa kutype useme watu smart hawanfiki vizuri
Ni mpumbavu pekee atakubaliana na huo ujinga
Anyway sorry(nisamehe)
Back to the thread leteni mambo
sema kingne wakuu mnazingua sana mnavokosoa watu walioandika story zao,wewe huna experience yeyote na hata kama unayo hutaki kushare kazi kupinga post za wenzako "chai hio" yako maziwa yako wapi??
Lengo la huu uzi ni kupeana tricks na kufurahisha tu,kwa hiyo ata kama unahisi ni chai we ishi nayo tu,kwa sababu hata ikiwa kweli au uongo haikuathiri chochote,lengo ni burudani tu!!
Hakuna anayezingua,
Umeandika vibaya unaambiwa,
Tena unaambiwa hapo hapo,
Probably unachukuliwa kawaida ila ukiambiwa utajirekebisha
Hakuna aya vituo uumbaji wa sentensi wa hovyo hovyo vifupisho vya kijinga kijinga
Kama huwezi kuandika vizuri keep your story
OVER

big up Sana mkuu

