Emery Paper
JF-Expert Member
- Jun 1, 2019
- 1,427
- 2,767
Weekend si ndio hii sasa. Tupieni visa basi ili weekend iende vizuri kabisa.
Hivi hilo tunda ni la aina gani embe parachichi apple tikiti maji fenesi maana kila mtu humu inaonekana amelila tayari
Mkiona Sehemu Dada Kasimlia Aliliwa Kimasihara mniitee [emoji28][emoji28]
Dadake babako huyo bro Mbuna.
Sawa bahariaBaadaye mnikumbushe, niwape stori nilivomla mtu na mdogo wake kimasihara!
Mabaharia tunapitia mengi sana aisee! Khaa!!
[emoji16][emoji16] Wewe ndio uliliwa kimasihara mkuu!
Infact ulibakwa!! Sema uka take advantage, haukupiga kelele!!
Vipi, yule mtoto alozaliwa, unafanana naye hata kdg!??