hakika wewe ni baharia
 
Huku si pakukaa maana pamejaa ufuska tu ngoja niondoke kimyakimya, shida atakuja baharia flani kusimulia alivyomkula dem wang kimasiara dah.
 
Hahahahaaaaa,nimependa hapo mwsho
Wee Sasa muongo
 
Nimekua sasa selective kuzisoma post za kimasihara, nikiona sijui nilipokua form 4,sijui form 3 kuna manzi sijui kafanyaje hizo hapana, post zangu pendwa ni za wafanyakazi wametaniana wakalana kimasihara au majirani hizi ndiyo zinamzuka kusoma, za wanafunzi wa chuo pia hazina mzuka [emoji23][emoji23][emoji23] za kitoto kimasihara napotezea, mlete visa vya kiutu uzima kidogo above [emoji725]
 
Mbona umekaa kama basata
 
Hayo mahubiri peleka kanisani mkuu, maisha yana dimensions nyingi sanaa, siku zote usijifanye mjuaji kwa jambo lolote ila kama ukipaswa kufanya hvyo,period.
Kuna sehemu nimejifanya mjuaji? Mbona kama ume panic mzee relax,, hata siku moja hatuwezi kua sawa katika mitazamo so usi force nifanye kama unavyotaka wewe
 
huko dukani alitumwa na nani?
Inawezekanaje mtoto wa form 3 aogope kugonga mlango nyumbani kwao akiwa anatoka dukani?

Kwahiyo kulala kwako ndiyo Bora kuliko kugonga mlango kwao??
Kizembe zembe tuu

Hii chai boss 😂
 
kwamba " kuna mbwa kashachoma tyr kijiweni"...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
huko dukani alitumwa na nani?
Inawezekanaje mtoto wa form 3 aogope kugonga mlango nyumbani kwao akiwa anatoka dukani?

Kwahiyo kulala kwako ndiyo Bora kuliko kugonga mlango kwao??
Kizembe zembe tuu

Hii chai boss [emoji23]
Mkuu mbona maelezo yamejitosheleza kabisa. Ni kwamba huyo dogo alikua anatoka beach anarudi home, mkuu akakutana nae. Kumuuliza anapoenda dogo akadanganya anaenda dukani. Mtu akapewa namba. Dogo kufika home mlango umefungwa. Ikabidi amcheki mkuu na kumwambia ukweli kua anatoka beach, ila kachelewa kurudi home mpaka wamefunga mlango, na anaogopa kugonga. Mwamba ndio akajiongeza kumwambia akalale kwake, dogo akakubali na ndio akaenda kuliwa
 
Mkuu ukazima taa na ukaona bikini ni nyekundu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…