Ulishawahi kujutia mchepuko?

nyie jaman acheni tu kuna michepuko inapiga mizinga tena sio mizinga ya kitoto, inapiga mizinga mikubwa mikubwa alafu tena ya karibu karibu. tena macho makavuuuu. mie michepuko basi tu mungu anisamehe natulia na huyu huyu niliyenaye
 
Mi kuna mmoja alidai anataka nimpe mimba watoto atalea mwenyewe hatanisumbua kwa matumiz ya watoto, GHAFLA wiki iliyofuata anapiga mzinga wa 100,000 TSH (sijui alijisahau ama vepe). Yaani huyu huyu aliejidai kuwa amejitosheleza hatimaye kaanza mizingo kabla hata ya tendo lenyewe, aisee ikabidi nirudi kwa mama watoto kimyaaa
 
Hivi kuna mchepuko ambao hautaki pesa Dar hii?
Ni wachache sana hawataki, usawa wa uchumi huu wa sasa, hawapati pesa kama zamani, nidhamu ya matumizi ya pesa yanaanza kupanda kidogo kidogo
 
Malaya kwenye ubora wenu 🤣
 
Ulipakatwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…