Ulishawahi kujutia mchepuko?

Ha ha ha nyie hamfui dafu kwangu, nlipata kitoto kidogo kama cha 17yrs hivi kikali balaa nikakitia mara moja bila ndomu asubuhi ananipigia simu ana mimba na hataki kutolea sehemu yoyote zaidi ya aghakhan na ni sh. 1m tena kwa kompyuta
Hata umri kalikudanganya
 
Mbaya zaidi,unaweza kutumia nguvu nyingi kuupata mchepuko na kuuhudumia sana lakini penzi ulilolitarajia hulipati na unakuta hana sanaa yoyote chumbani na kitu pekee kizuri alichonacho na anachoringia na kukusumbulia pia ni sura bomba,figure nzuri na mashauzi ya kuiga.
Inaboa sana.
 
Hahahahaha! Kha! Ulikutana na shujaa wa makamanda wa uchepukaji. Eti ajali kazini,mambo yaendelee kama kawaida.
 
Nimeipenda hii yakoo.. Hatari sana...
 
Kuna kamchepuko nilikua nako muda mfupi tu ila shughuli yake si ya kitoto nimepiga mzigo mara moja nikapigwa kizinga cha 400,000/= nikachomoa

Ikaja suala la ada nimkopeshe 600,000/=
Nikachomoa

Ikaja 150,000/= sijui ilikua ya simu nikatosa haijaenda mwezi nikapigwa 50,000/= nikatosa nikaletewa cha hela ya kula chuo kila siku 10,000/= nikamwambia majukumu ya baba na mama yake asilete kwangu ikawa game over.

Usipime unaweza jikuta unasomesha hivi hivi
 
Hizi ni kali za mwako... Nimepitia zote nimejifunza mengi
 
Ha haaa wewe noma,kuzimia ikawa pona yako
You are very bad woman..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…