kwanini unsaherehekea siku yako ya kuzaliwa siku ambayo ulitoka tumboni mwa mama na wakati uhai wa binadamu unaanza sikuambayo mimba imetungwa? na unakuwa tumboni mwa mama kwa miezi tisa? hii miezi kwa nini huwa hatuitambui kuna mtu amewahi kujiuliza mimi na pata taabu kwenye hili maana kama una miaka kumi utasomeka miaka kumi na tisa badala ya miaka kumi tu naomba maoni yenu kwenye hili