Ulishawahi kuharibiwa siku na mkweo?

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
6,324
Reaction score
2,494
Habari za leo wana MMU.

Nimependa niwashirikishe hii habari ya mujini tuone imekaaje na kama ni wewe utafanyaje."Jamaa alikuwa anaendesha gari aina ya NOAH , amebeba familia yake pamoja na wakwe zake wanaenda kula bata.Mara wakapitwa na gari nyingine aina V8.Yule mama mkwe akasema ona mwanaume yule anapita."

Utajisikiaje wewe na NOAH yako mbele ya mkeo na watoto na wakwe zako.
 
kawaoda coz haujui uwanaume wangu
anaeujua ni mwanae ambae ndo mke wangu
 
Unamdharau mama mkwe kwa sababu hajielewi.
 

hiki kibonzo nisha kipataga kitambo sanah, hata hakichekeshi wala kunipa hamasa ya kufikiria kama ningekua mm ningefanya nini! kama vp toa kingine kama unacho tuone kama kitatupa mshawasha au kitadoda kama hiki?
 
Hii ungepeleka kwenye jocks maana sio story ya kweli ni jocks tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…