Ulishawahi kufanyiwa utapeli gani na mpenzi wako?

Nilikutana nae alinambia tayari anakijusi cha mwezi 1 na ana migogoro nae, ukaribu ukaribu nikapewa nikaweka.

Kwa huruma nikawa namsaidia saidia kumbe akili yake anifanye Mzee Abdul, nikaamka nikamwambia msaada wangu umeisha pataneni na mwenzio sitak kukulemaza ukaachana nae kabisa....

Akaenda kwao huko akarudi na kuniambia mimi ndio mwenye mtoto kuwa ile mwanzo alikuwa anajidhania kashika mimba kumbe ilikuwa hajashika kwa yule jamaa ila imeshika alivyonipa mimi, nikamwambia tu file kesi tukapime DNA akawa hataki.....
 
Hahahahahahah
 
Mchunguze vizuri kama hajawai kujamba mbele yako basi ujue kuna utapeli mkubwa anakufanyia deile
Hivi nyie Nani kawaambia kujambiana ndio mapenzi?
Hakuna kitu siwezi fanya Kama kujamba Jamba ili nionekane mkweli
 
Nilimtumi nauri aje Dar kutokea HEdaRu! hakuja akala ikabidi niende mbusus sikupata mweee!
 
Kila mmoja kwa namna moja ama nyingine ametapeliwa kwenye mapenzi:-
  • Kuna aliyelazimisha kuzaa na mtu akitegemea apate ndoa, mambo yakawa tofauti
  • Kuna aliyetuma nauli akitegemea mwenzake afike, mambo yakawa tofauti
  • Kuna aliyesomesha akitegemea waje waoane waishi pamoja, mambo yakawa tofauti
  • Kuna waliotoana kijijini na kuja mjini wakitegemea waishi vizuri, mambo yakawa tofauti
  • Kuna aliyeshindia mihogo huku akimpendezesha mpenzi wake akitegemea waje waishi pamoja, mambo yakawa tofauti
  • Kuna waliojinyima kufanya maendeleo yao binafsi kama kujenga, kufungua biashara n.k na badala yake kuwekeza kwa mpenzi wake akitegemea kuna ndoa, mambo yakawa tofauti
  • Kuna aliyejituma kutoa shoo za kibabe akitegemea mwenzake atatulia, mambo yakawa tofauti n.k
Hayo yote tunaita ni utapeli wa mapenzi.

Kuanzia January 2021 mpaka leo hii December 2021, umefanyiwa utapeli gani na mpenzi wako?
Yaani kabisaaa mie namlalia juu! wkt navuta hewa safi!! anitapeli weeee!! thubutuuu!! sisi tuna akili ya Mungu alitupilizia pumzi direct kotoka kinywani kwake!! hata wawe matapeli vipi hawatuwezi kwa utapeli!

wata--liwa naniliu bure na tuta wakopa tu, hawataki!! wakae nazo mwezi tu.... km hazija vunda!! siku wakipata Hysteria watatutafuta tu tuje kusafisha na virungu,, wakija unasema hivi ''mie bado unanidai itakuwaje?'' wanaanza kukubembeleza!

unasema ''basi nakupa kiduuchu ili deni lisiwe kubwa'' demu mwenyewe anajua tamu yako atakulalamikia ''bana weeee endelea tu deni ntafuta'' mleta mada ukilia lia hivi...... ina maana huwajuliii una mbato maku- shine km unatwanga! kwa nini usitapeliwe?

Fanya kazi mpaka demu anafika bei mwenyewe ''Mahali ya kutoa kwao inapigwa pasu kwa pasu! yeye nusu na wewe nusu!! km hujaambiwa hIvi hujui KUMABTO kazi anza moja.......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom