Ulishawahi kufanyiwa utapeli gani na mpenzi wako?

Sitosahau...

Ilikuwa chupuchupu nisitishe chuo na ujinga wa mapenzi

KISA KILIKUWA HIVI.

Wakati niko chuo mwaka wa 2 yeye akiwa mwaka wa 1, huyu manzi alifiwa na mlezi wake aliyekuwa anamfadhili masomo hivyo ikapelekea yeye kusitisha masomo mpka atakapopata ada.

Sasa akaniomba nimuongezee mtaji wa biashara kama 50,000 nkikampatia ila sikufatilia kama biashara alifanya au laa sababu nilijua ni jukumu langu pia nimpe privacy yake .

Sasa banaa nyie wadada sijui mnaingiaga michezo sijui vikoba ,sasa huyu bibie akazama huko afu akashindwa kulipa ,dakika za mwisho akanambia anadaiwa laki 5

JUST IMAGINE LAKI 5 KICHUOCHUO NDEFU.......JMN

Wale waliomkopesha wakatishia kumkamata na kumweka ndani , na hapo niko semester ya pili nina ada kama laki 6 na ushee(ada nilikuwa nalipa kwa semester sababu ya kukosa uhakika wa kuvuka -kozi za ugumu mavi)

Kumbe banaa ni kamchezo nachezewaaaa

NILIGUNDUAJE?

Nilimuuliza kama ndugu zake wanasemaje kuhusu hilo ,eti oooh wamemsusa hvyo hana msaada zaidi yangu , lkn nikamwambia mimi nina ada tu mkononi na sina ziada, bibie akaniambia nimpe hyohyo atanilipa wakati huo chuo mimi deadlne ya malipo iko just around the corner.

Roho wa MUNGU akaniambia stukaaaaaa weweeeeee unapigwaaaa apaaaa

Nilikataa na mwishoni eti akanijibu hivi...

UMESHINDWA KUNISAIDIA WW KAMA MWANAUME WANGU HVYO NTAENDA KWA WANAUME WANAOWEZA KUNIHUDUMIAA NA KUNIJALIIII

Uandishi wa fundi ujenzi vumilieni
 
Sakayo ebu ukuje mwali, maana umetoweka ghafla na hata sikuoni ukilike kama zamani...๐Ÿ˜•๐Ÿ™ƒ
Hii comment imeniletea shida kwa mtu nilie mtag, kuna member hapa kaenda kumwambia kwamba mimi ushimeni nimeandika kwamba alinitapeli.

Anyway, itoshe tu kusema JF ya sasa imebadilika sana na wengi wetu tumekua wachonganishi pasipo sababu ya msingi.
kwasasa naomba niishie hapa.
 
Tokea nianze kutuma nauli cjawah kudhulumiwa labda leo maana nimetanguliza advance ya nauli so nategemea baadae mchumba aje tuingie bustan ya eden
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom