Powell Gonzalez
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 1,554
- 2,717
Ulishawahi kuandika uzi then ukawa na zero replies yaani hakuna mtu kajibu chochote?
ulijisikiaje?😅😅😅😅
ulijisikiaje?😅😅😅😅
Nashkuru umereply, ewe mjinga namba moja JFNalaumu mlio reply first tungeacha hii thread isiwe na reply ingekuwa unyama
Futen reply zenu nifute na ya kwangu😄
Labda ingekuwa kale ka kituko kako jambo forumNalaumu mlio reply first tungeacha hii thread isiwe na reply ingekuwa unyama
Futen reply zenu nifute na ya kwangu😄
sawa bwabwaKama wewe ni mwanaume, wazazi wako wana hasara