Tupo pa1 hapaSitakuja kulipa pesa ili nichajiwe kuandika Research. Nitaikosea nitampelekea supervisor atanisahihisha mwisho wa siku nitakua na kazi iliyotokana na uelewa wangu.
Ni ishu ya kujisomea na kuandika. Tatizo liko wapi?
Kama sababu ulizotoa ni halali, akina Magu ndio watapata nafasi ya kutembea kifua mbele, PhD ilhali ni waziri!Kuandikiwa Dissertation na mtu sio jambo baya au Kinyume na Sheria hapana. Zipo sababu nyingi zinapelekea mtu kuandikiwa dissertation au research kuanzia mwanzo hadi final stage.
Sababu zifuatazo zinapelekea mtu kuandikiwa dissertation 1. Muda ( for inservice people) kufanya kqzi huku na kusoma sometimes inawia vigumu na kupelwkwa mtu kuandikiwa dissertation 2. Uelewa mdogo wa uandishi, hii ni sababu kubwa kuliko zote ni wazi mchakato wa kuandaa proposal ni kipengele na unaitaji uvumilivu na uweledi ktk uandishi.
Kama ulishawahi kuandikiwa dissertation au research don't afraid to share with us your expwrience ya kufanyiwa kazi au kqmanulishawahi kukutana na usumbufu flan au kama ulishawahi kukutana na mtu flan akawa ndo the best yaan
Hii ndio atakuwa alifanya Mwigulu Nchemba,hafananii kuitwa Dr.Kuna wanafunzi wa PhD wanakuandikia mradi pesa yao uwalipe. Unalipa yote kabla ya kazi kuanza au nusu na nusu ilivyo ski wakati wa makabidhiano.
Wanacharge per page. Page moja laki moja.
Hapa ni janja ya nyani. Hapa unakuwa umeandikiwa na kanjanja tu.Zipo sababu tofauti zinazopelekea mtu kuandikiwa kwa in service people time factor is majorr impediment ! Unaweza kuwa conversant na study yako issue ni time inabana then no option mtu ana opt kumpa mtu amuandikie lkn concwpt inqkuwa ni ya mwenyekazi
Mkuu inaonekana hujaelewa. Put it in this way : concept ni yako, ww mwenyewe ndio una set objecrives za kazi yako, statemwnt of problem is yours lkn sababu zilizo nje ya uwezo wako una decides kutafuta consultancy / assistance akuandikie mawazo yako. Huo sio WIZI hakuna types of wizi, na tafasili ya wizi ni kuchukia kitu kisicho kuwa chako. Hapo kuandikiwa automatically sio wizi. Ila kama uki copy and paste kazi ya mtu kama ilivyo without acknowledge hapo ni WIZI
Page moja 100K? Hii hii ninayoijua mimi au umeongezea sifuri mbele? Kwahio kazi ikiwa na page 60 je unalipa 6M?Kuna wanafunzi wa PhD wanakuandikia mradi pesa yao uwalipe. Unalipa yote kabla ya kazi kuanza au nusu na nusu ilivyo ski wakati wa makabidhiano.
Wanacharge per page. Page moja laki moja.
Si unataka kuitwa Dr bila kutoa jasho 😂Page moja 100K? Hii hii ninayoijua mimi au umeongezea sifuri mbele? Kwahio kazi ikiwa na page 60 je unalipa 6M?
Hahahaha kwa PhD sawa, nikajua ile ya masters ndio unasemea.Si unataka kuitwa Dr bila kutoa jasho 😂
Wakikuandikia huanguki labda uwe kiazi sana ushindwe kui defendHahahaha kwa PhD sawa, nikajua ile ya masters ndio unasemea.
Ni pm tu share ideasNisaidieni na Mimi ndo nakomaa na proposal kwa sasa
Mm nimesoma huku nafanya kz , na nilikula sana bata nilikuwa nawakimbiza vijana na na sikufanyia andiko na mtu niliifanya mweneywe na nikapata B+Kuandikiwa Dissertation na mtu sio jambo baya au Kinyume na Sheria hapana. Zipo sababu nyingi zinapelekea mtu kuandikiwa dissertation au research kuanzia mwanzo hadi final stage.
Sababu zifuatazo zinapelekea mtu kuandikiwa dissertation 1. Muda ( for inservice people) kufanya kqzi huku na kusoma sometimes inawia vigumu na kupelwkwa mtu kuandikiwa dissertation 2. Uelewa mdogo wa uandishi, hii ni sababu kubwa kuliko zote ni wazi mchakato wa kuandaa proposal ni kipengele na unaitaji uvumilivu na uweledi ktk uandishi.
Kama ulishawahi kuandikiwa dissertation au research don't afraid to share with us your expwrience ya kufanyiwa kazi au kqmanulishawahi kukutana na usumbufu flan au kama ulishawahi kukutana na mtu flan akawa ndo the best yaan
Inategemea na chuo ulichosoma na kazinulizokuwq unafanya chief ? Kaama ulisoma mzumbe it is fineMm nimesoma huku nafanya kz , na nilikula sana bata nilikuwa nawakimbiza vijana na na sikufanyia andiko na mtu niliifanya mweneywe na nikapata B+
Acha kuhalalisha wizi...tunahitaji academic intergrity na intellectual honest kwenye kazi ya mwanafunzi...ukifanyiwa research hivyo vitu viwili vinaondoka.Mkuu inaonekana hujaelewa. Put it in this way : concept ni yako, ww mwenyewe ndio una set objecrives za kazi yako, statemwnt of problem is yours lkn sababu zilizo nje ya uwezo wako una decides kutafuta consultancy / assistance akuandikie mawazo yako. Huo sio WIZI hakuna types of wizi, na tafasili ya wizi ni kuchukia kitu kisicho kuwa chako. Hapo kuandikiwa automatically sio wizi. Ila kama uki copy and paste kazi ya mtu kama ilivyo without acknowledge hapo ni WIZI
Nicheki DMNisaidieni na Mimi ndo nakomaa na proposal kwa sasa
Sitakuja kulipa pesa ili nichajiwe kuandika Research. Nitaikosea nitampelekea supervisor atanisahihisha mwisho wa siku nitakua na kazi iliyotokana na uelewa wangu.
Ni ishu ya kujisomea na kuandika. Tatizo liko wapi?
Mkuu mfano muda ukakubana, kuwasiliana na supervisor kwamba kuna hiki na hiki ni swala gumu sana?Kwa sababu una mda, ndio maana una sema hivyo..
Alafu sio mda tu, kuna mambo mengi, usimtukane mamba kabla hujavuka mto
Chief we umeliona ilo ktk mtazamo nje ya box ... NiceKwa sababu una mda, ndio maana una sema hivyo..
Alafu sio mda tu, kuna mambo mengi, usimtukane mamba kabla hujavuka mto