Ulishamuona your first love?

My childhood crush was kwa huyu kijana sijui ilikuwaje alikuwa mkubwa sana kuliko mimi,kama 18-21, na mie nilikuwa 13 yaani nilimpenda huyu mkaka sijawahi ona mpaka nikawa napoteza hamu ya kula, na kwenda nyumbani ni lazima upite kwao yaani nikimuona yupo nje najikwaa hata mara nne. sikuwahi kumwambia na wala yeye hakuniambia mpaka tulihama mtaa na mpaka leo sijawahi muona tena

gaga miaka 13 unakosa hamu ya kula?:biggrin1:
 
Namtafuta nikimpata na kama yuko single
mmmhhh ..

Sitaki mtu yeyote anipe
lecture kwa nililosema...
asanteni
AD

unaweza kuwa so suprise ukishamuona na wala usimtamani tena, si unajua jinsi maisha yanavyobadilisha watu.
mi wangu hata si mtamani na ustar wake wa kibongo bongo,na wala si wish kukutana nae uso kwa uso na kila nikimuona najiuliza maswali kibao.
 
namkumbuka vizuri,aliitwa Halima M.......nakumbuka nilianza shule af nikarudia kama mara mbili for some familiy reasons so baada ya ku-resolve siku naanza shule rasmi na yeye akawa anaanza.wazazi wetu walikuwa wanafanya kazi pamoja s aliletwa home asubuhi na mamake afu nikaachiwa 'kaka mkubwa' mwenyewe niende nae shule.nakumbuka njiani tulianza kwa kushikana mikono,af sijui nin kilipelekea kukumbatiana tukiwa tunatembea,yani hadi shule hivohivo.watu walituita wachumba tukafurahi kwelikweli,tukaruhusiwa hata kutembeleana peke yetu(ofkoz kinguo nguo ilikuwemo,na kidogo advanced - blame our then house girl for this!).nasikia ameolewa hapo dar na jamaa linamnyanyasa mbaya!maisha bana...
 
kama yupo abused , please rescue her
 
me wangu toka std1 hadi2 alipohama,sijamuona tena mtoto alikuwa kasimama...model flan hivi afu ana aibu za kike wacha bwana
 
Namtafuta nikimpata na kama yuko single
mmmhhh ..

Sitaki mtu yeyote anipe
lecture kwa nililosema...
asanteni
AD

Thanks sana AD.
Hey, Asha D, Lizzy n' Kisukari....
Nadhani kwa hili msimamo wangu ni kama wa Afro D
Lol.
Vitu vingine havielekezeki.
 
Mmmh kuna mmoja ameongea humu kama alivyovifanya ndo na mim 2lifanya nae ngoja ni pm! Huenda nkampata wangu wa kale yan kama ndo yeye vile. Ntarudi
 
unaweza kuwa so suprise ukishamuona na wala usimtamani tena, si unajua jinsi maisha yanavyobadilisha watu.
mi wangu hata si mtamani na ustar wake wa kibongo bongo,na wala si wish kukutana nae uso kwa uso na kila nikimuona najiuliza maswali kibao.

hahahahah lol
Pole sana hiyo
ya kutomtamani niachie mimi
tutajua siku nikimuona...
 
You should have initiated a chain reaction right away. Remember, a golden chance never come twice! I hope u meet him someday coz it seems u will be the happiest woman alive!

Labda ntakua na bahati ya kuipata hiyo nafasi mara ya pili!
 
Sijui ilikuwaje ila baada ya kuhamia hapa shuleni kwetu mambo yalibadilika! Kwanza mama yake ndiye aliyeharibu! Alikuwa anamwambia unamwona mchumba wako! Ikawa kwenda shule atakayewahi anamsubiri mwingine. Taratibu shule wakaanza kututania baba na mama hao wanapita. Hatuna hata muda wa kucheza na wengine. Usiku tunasoma pamoja. Mama akiwa wa kwanza baba wa pili! baba wa kwanza mama wa pili. Kuanzia darasa la tatu tunawakimbiza ile mbaya. Akichokozwa anakuja kwangu.! na urefu niliokuwa nao utakoma. Akawa mikono salama kabisa. Tunamaliza darasa la saba yeye kule mimi kule. Mwanaume ndo nikagundua kuwa kuna kitu imepotea. Nikawa kila weekend natoroka shule japo nikamwone! hatukuwahi hata kulaliana. Nilipopata huu uwaziri wa starehe tu! Disco la kwanza nili organize na shule yao. Nilikuwa mtundu kupita maelezo! Ule mziki wa 0 distance nilishuhudia mtu akidondoka mikononi mwangu. Tangu siku hiyo tuliombea likizo ifike mapema! hakuna siku ambayo hatukufanya sijui kwa nini alikuwa hapati mimba! Dah nilondoka bana na wazazi wangu kuja kurudi kaolewa bana!
 
lol...lol...lol.... I believe tunaruhusiwa kufurahi.... Best of luck if you meet again... what i have picked up is she has to be one special lady...

Yaani haishi hamu lol....
Dini ndio imekuwa kwere, ningemwiba toka kwa jamaa ake.
Baba ake anamsimamo mkali sana na sisi "wagalatia"
 
Mie nilikuwa la tano akaja demu mgeni faster faster nikaanza kummendea, mama ake alikuwa mwalimu akajua issue acha anipe kipondo, kumbe msichana aliacha barua ikaonwa na mama yake...kumbe mama kachochea, mtoto katoa keki mie ndani ya nyavu...ndo alinitoa ushamba na yeye alikuwa darasa la saba..mwaka jana niemuona tena kawa mzuri jamani na yuko office moja nyeti mie nilipomuona nikajificha maana life limenigeukia....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom