Ulishamuona your first love? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ulishamuona your first love?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by 22nd, May 14, 2011.

 1. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #1
  May 14, 2011
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Simaanishi yule mliochakachuana, mpenzi ninayemsema ni yule wa enzi zile za kidali poo, kombolela,kucheza ule mchezo wa baba na mama au kama mnakumbuka ule wimbo wa " NILONGE NISILONGEEE!!!!, MWENZENU MZUANDA,MCHUMBA AKEE NI ....." wakishakutajia jina la mchumba ako, unajifanya unalia kumbe huku karoho kanakudunda. i think ni age between 6-10.

  Hii inatokea automatic una m fancy mtoto mwenzako (enzi hizo tulikuwa tunasema mchumba) ambaye unadhani atakuja kuwa mume wako, then maisha yanawatenganisha( bila ya mmoja kuwa na maumivu au kumuwaza mwenzake).

  Inakuwaje ukikutana na mchumba wako wa utoto baada ya miaka? je yupoje?still anakuvutia kama enzi zile?mnene? au kama alikuwa mnene enzi za utoto,je amepungua? je amefanikiwa kimaisha? maisha magumu?

  Sijawahi kukutana na wa kwangu uso na macho,ila namuona tu kwenye kideo, amekuwa comedian... ha ha ha, kind of choka mbaya japo nadhani anajituma.

  Wish him all the best.
   
 2. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #2
  May 14, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Nilipokua eleven (11) I met my first puppy love... Alikua a new pupil na the first time amekuja darasani alikua placed next to me.... I remember feeling I was very lucky... I don't know hii akili hutoka wapi but nakumbuka kabisa kila siku nilikua naacha pencils/colors ili tu tutumie zake wote... Nilimkaribisha and was close to him in the pretense ya kumuonesha school sorroundings - i felt good with him... Sikufanya zaidi I was a very passive gal... Alikaa hapo shule for only a year... He is my first genuine boyfriend in my life (friends without benefits).... It is at this time nilianza kua makini zaidi ni jinsi gani naonekana katika kioo kabla sijatoka... And I was only 11... acha bana kitu kinaitwa nature....
   
 3. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #3
  May 14, 2011
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35

  Hii kitu acha masihara nayo, mbele ya nyumba yetu kulikuwa na kiwanja kidogo cha mpira, basi akija mitaa ya kwetu kucheza mpira, yaani sikuhiyo sifanyi chochote, nitaangalia mpira mpaka uishe.

  je ulishamuona tena?
   
 4. s

  shosti JF-Expert Member

  #4
  May 14, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mhh kumbe wengi hii kitu ilikuwepo,wangu mpk baadae sana tulikuwa na kama kitu fulani kati yetu ila hakuna aliemwambia mwenzake na maisha yana mambo mengi kawa chapombe huwa natamani kumsaidia kiudada zaidi lakini sielewi naanzia wapi.....ila alinsaidia sana kujitambua kwa namna moja au nyingine
   
 5. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #5
  May 14, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,640
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Ilikuwa darasa la nne, mwalimu alimleta tukae kiti kimoja. at that time alikuwa staa wa darasa na baadaye akawa staa wa shule! Ooh, it was good to go around with her. Kila mara nilipenda kuwa naye. Tulikuja tengana baada ya form four, alipata division mbaya, so akaanza kufeel inferior kwangu. Pamoja na kumsihi kuwa tuwe kama zamani aliinsist tuwe apart, na akanambia anabadilisha system ya maisha.
  Sasa hivi ni mtawa wa kanisa katoliki, ila mara nyingi huwa nakumbuka sana good times zetu utotoni, mnapanga kuoana mkiwa std iii.
   
 6. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #6
  May 14, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  lol..lol...lol.. Kazi ilikua haifanyiki... My dear you were in deep!


  Mzuanda sijawahi muona tena... I really wish ningejua... Nafikiri ilichangiwa alikua katoka nchi nyingine (Hivi nimekua nime realize mzee wake labda alikua mkubwa fulani wa kuhama hama)... na mbaya zaidi huko tulikutana haikua TZ...
   
 7. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #7
  May 14, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Mie nilikuwa kama 10 hv ila huyu wa kibaba na mama, na alikuwa akipangiwa mama mwingine anaondoka.nilimpenda ila wakaondoka na family yake kwenda kuishi nje ya nchi.Yeah wangu! tangu kipindi hicho nikajakutana nae ukubwani kwenye ndege tunaenda arusha hiyo mwaka juzi tulivyofika huko tena heeeeeeeeeee.......%^&*$#@)(*&&....LOL
   
 8. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #8
  May 14, 2011
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  wakubwa tumeelewa.
   
 9. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #9
  May 14, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  We acha tu infiiiiiii
   
 10. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #10
  May 14, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 453
  Trophy Points: 180
  mi nilishamuona..ila niliacha kuwa rafiki yake kwasababu maza ake alikuwa mchawi kama nini a.k.a kigagula, alikuwa katibu wa nyumba 10 mtaa wa vigaeni..mama katibu!!lol...haya mambo banaaa..kitambo
   
 11. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #11
  May 14, 2011
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  yanafurahisha sana ukiyakumbuka.
   
 12. God bell

  God bell JF-Expert Member

  #12
  May 14, 2011
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 581
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Nilikutana nae akiwa ameshazalishwa watoto 3 na ana maisha magumu kweli. Ila bahati nzuri alikuwa anaishi na Mme wake na anajituma pamoja na maisha yake kuwa magumu.
   
 13. s

  shosti JF-Expert Member

  #13
  May 14, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  inauma sana kiukweli,unajikuta ynajiuliza maswali mengi sana ila jibu linakosekana
   
 14. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #14
  May 14, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hhheheheeh...mi nlikua na miaka 9 na wala nlikua sijui maana ya kupenda wala kutamani alivyohamia shuleni kwetu.Alikua mvulana pekee nliekua namwazima vitabu vyangu alafu alikua anapenda kuniomba nimsaidie hesabu.Alikua akiwa karibu yangu nahisi joto la ajabu....akipita karibu na nilipo na marafiki zangu kama nlikua naongea nanyamaza mpaka apite....akiniomba nimweleweshe hesabu najitolea kufanya ubaoni na wengine wakiwepo ili tusiwe wenyewe tu.Sekondari tukafaulu kwenda shule moja ila sikukaa sana nikahama.Baada ya kuhama mpaka leo na kesho hua namuota sana...sijui kwanini!!Tulikutana tena 2007 nilipoenda nyumbani na yeye akiwa likizo....siku zote nilizokuwepo tulikua tunazunguka wote.Hata nikienda kwa ndugu zangu kusalimia....ila tuliishia kushikana mikono na kupiga story mpaka usiku wa manane tukiwa tumelala nj kwenye majani huku tukiangalia mbalamwezi!!!Can‘t wait to see him again....sijui atakua kashapata mchumba!!
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  May 14, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,407
  Trophy Points: 280
  Mimi wangu namkumbuka sana. Anaitwa Angela (Anjelina) na sasa anaishi ughaibuni kaolewa na mzungu na ana watoto wawili. Nakumbuka tukiwa na miaka miwili (2) wakati tunacheza mchezo wa kujificha mimi na yeye tulienda kujificha kwenye jumba bovu. Huko kwenye hilo pagale nikammega kinguonguo (masela si mnakumbuka zile dizaini za kumega kinguonguo?). Basi nikammega pale halafu tulipomaliza tukajitokeza. Basi mtu mzima nilijiona mwepesi mwenyewe utadhani nilikuwa najua hata nilichokuwa nakifanya.
   
 16. s

  shosti JF-Expert Member

  #16
  May 14, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  hahhhhahahhhahhh mkiwa na miaka miwili hii kali ya mwaka
   
 17. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #17
  May 14, 2011
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  nadhani kinguo nguo ni tamu kuliko hii ya sasa.
   
 18. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #18
  May 14, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,407
  Trophy Points: 280
  Wee acha tu. Wengine mambo tuliyoyapitia yanatisha na kustaajabisha na kutufanya tujiulize iweje hadi leo hii bado tupo hai.

  I had an eventful childhood that I terribly miss. I wish I could turn back the hands of time so I can be a bad ass kid again. But since I can't all I can do now is just reminisce with nostalgia.
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  May 14, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,407
  Trophy Points: 280
  Hahaaaaa wewe lazima utakuwa mshirika wewe.
   
 20. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #20
  May 14, 2011
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  hivi kuna mtaa kule uswahili enzi zile ambao ulikosa jumba bovu? ila bahati mbaya jumba bovu la mtaani kwetu lilikuwa na mashetani....lol
   
Loading...