Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,797
- 6,795
Habari
Nilipoingia form six, nilikuwa PCM. Kwa kweli kombi ilikuwa ngumu sana. Nilikuwa na ndoto za kuwa engineer wa majengo.
Matokeo ya NECTA kutoka nikajikuta nami ni kundi la BASHITE, japokuwa niliamua kurudia tena na matokeo yakawa BASHITE. Ndipo wazazi wangu wakanipeleka chuo kimoja cha afya.
Nilipokuwa chuo kile, niligoma kusoma ambapo nako nilipata supp 7. nashukuru nilizichomoa. nikaanza mtindo wa nondo mpaka namaliza nilikuwa mtu wa nondo.
Nilikuwa naingia na simu, doggy, ikiwezekana pad, nawasiliana na wa nje, ilikuwa maisha yangu. Nilipomaliza na kupata kazi niliamua kwenda kwenye kitu nachokipenda engineer.
Huko nako ilikuwa ni doggy kwa kwenda mbele mpaka nikamaliza. Wapo waliokuwa wakinisema vibaya lakini ndo wao walidisco na mimi nikashawishi wengine watumie nondo, hao wote wapo kazini na nashukuru wapo kazini.
USHAURI: KAMA UNA KICHWA KAMA CHANGU WEWE MDOGO WANGU, NONDO ZINAOKOA. HATA WAKUSEME VIBAYA UKIFAULU HAKUNA ATAYEJUA ULIKUWA DOGGY MASTER. MIMI NILIFAULU, WEWE JE?