Ulipata wapi hela ya kununua gari lako la kwanza?

God knows

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
276
173
Habari Wanajukwaa,

Kwa mishahara yetu hii ya Tanzania:

Uliwazaje kununua gari yako ya mwanzo?

Mshahara wako ulikuwa sh. ngapi wakati unanunua gari hilo?

Ulinunua muda gani baada ya kuajiriwa?

Tushirikishane mawazo.

Karibuni!
 
Unafanya Research? We ishi utakavyo sio Wapendavyo watu. Kakope nunua gari, hasara roho. Ulisoma uje usumbuke? Upo wapi usemi wa soma uje uishi kama Mfalme? Ishi ufalme wako bila kutazama watu.

Ukisikiliza watu wanasemaje utakufa na huo ufalme ulioahidiwa ukiwa mdogo huta uona milele.

Binafs gari ya kwanza ilikuwa ya biashara nilikopa. Ya sasa ni ya biashara nusu ya pesa yake nilikopa. Ipo njiani (Kwa Neema ya Mungu) ya tatu ya kutembelea. Cjajua nita i fund vipi lkn nikipungukiwa nitakopa.

Maisha ni vile unachanganya na za kwako
 
Sababu umeuliza waajiriwa BA's watakuja kukujibu,,Ila sis wafanyabiashara hapa hapatuhusu kwa sasa
 
Mimi nimeajiriwa tuh,ndani ya miezi 3 nikanunua gari by cash kwa ela za dili mwaka 2007.sasa hivi nafanya biashara zangu.
 
Back
Top Bottom