Ulipaji wa gharama za kuagiza gari toka nje ya nchi

Ulipaji wa gharama za kuagiza gari toka nje ya nchi

mew 123

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2024
Posts
307
Reaction score
193
Habari
Pasipo kupoteza muda naomba niende kwenye mada na kutoa ufafanuzi yakinifu kuhusiana na ulipaji wa gharama za kuagiza gari Toka nje ya nchi.

ULIPAJI wa gharama za uagizaji wa gari Toka nje ya nchi huwa upo wa aina mbili. Aina ya kwanza ni kulipa kiasi chote Kwa pamoja yaani full payment nikimaanisha ulipaji wa Bei halisi ya gari na gharama zingine Kwa pamoja kama vile Kodi za TRA na gharama za clearance and forwarding na BIMA .

Ulipaji wa pili huwa ni by installment yaani unalipa Kwa awamu mbili, unaanza kulipa hela ya kuagiza gari, halafu baadae utalipa hela nyingine ya gharama za Kodi bima na clearance and forwarding agent fees na gharama za bandarini
Asante
OZB CAR IMPORTERS
0686153806
 
Habari
Pasipo kupoteza muda naomba niende kwenye mada na kutoa ufafanuzi yakinifu kuhusiana na ulipaji wa gharama za kuagiza gari Toka nje ya nchi.
ULIPAJI wa gharama za uagizaji wa gari Toka nje ya nchi huwa upo wa aina mbili. Aina ya kwanza ni kulipa kiasi chote Kwa pamoja yaani full payment nikimaanisha ulipaji wa Bei halisi ya gari na gharama zingine Kwa pamoja kama vile Kodi za TRA na gharama za clearance and forwarding na BIMA
Ulipaji wa pili huwa ni by installment yaani unalipa Kwa awamu mbili, unaanza kulipa hela ya kuagiza gari, halafu baadae utalipa hela nyingine ya gharama za Kodi bima na clearance and forwarding agent fees na gharama za bandarini
Asante
OZB CAR IMPORTERS
0686153806
Tupe summary ya gharama zote mbali na CIF ya kununua gari.
 
Mkuu kuna post nilipost inanyesha gharama zote wait soon nitaiupload
 
Mkuu kuna post nilipost inanyesha gharama zote wait soon nitaiupload

Habari
Pasipo kupoteza muda naomba niende Moja Kwa moja kwenye mada na kutoa ufafanuzi yakinifu.
Katika mchakato wa kuagiza au kununua gari Toka nje ya nchi kama vile Japan China marekani Dubai na uingeeeza(UK) huwa kuna gharama tofauti tofauti ambazo ningependa tuzijadili hata kama ni Kwa uchache lakini Vizur.
1. Gharama za ununuaji wa gari
Hii ni Bei halisi ya gari, ni jambo muhimu ambalo pindi unapotaka kununua gari unapaswa kujua. Mfano unataka kununua gari aina ya SUBARU FORESTER - SHJ SUV 2012 ukimuuliza agent Bei yake kabla hajakupa mchanganuo yaani kataja Bei ambayo ni jumuishi ya gharama zote, ni Vizur ukajua gharama halisi au Bei halisi ya gari kabla ya gharama zingine sababu pindi unapoagiza gari, malipo hufantwa Kwa awamu kuu mbili, awamu ya kwanza ni ulipaji wa hela ya kununulia gari na awamu ya pili ni ulipaji wa gharama zingine ingawa kama unaweza unaweza kulipa yote.
Mfano wetu ni gari a SUBARU FORESTER - SHJ SUV 2012 labda Bei yake ni MILIONI 26 ukijumuisha na gharama zingine, Kwa hesabu za haraka Bei halisi ya kununulia gari au kuagiza gari ni 12,500,000/=
2. Gharama za Kodi za TRA
Pindi gari linapofika ktk bandari ya dar es salaam huwa kuna Kodi ambazo gari huwa linatozwa l, Kodi hizi ni kama vile import duty, excuse duty, VAT lkn pia na gharama za usajili wa gari
Kwa mfano gari ni SUBARU FORESTER - SHJ SUV 2012 ambalo Bei yake halisi ilikuwa ilikuwa ni milioni 12,500,000/= Kodi unaweza kuwa 11,150,000


3. Gharama za bandarini
gharama hizi hufahamika clearance and forwarding fees gharama hizi huwa haziko specific Bali hutofautiana kutokana na ukubwa wa gari mfano gari aina ya Toyota harrier gharama zake huweza fika Hadi milioni Moja(maximum) wakati Nissan civilian bus mhuweza fika Hadi milioni 2.5
4. Gharama zingine
Gharama hizi ni kama vile gharama za usafirishaii hususani Kwa nchi ambazo kampuni unayotumia kununulia gari gharama za usafirishaii hazijajumuishwa ktk total cost, gharama zingine ni gharama za clearance and forwarding agent fees hizi ni za agent anayekufanyia clearance and forwarding bandarini, gharama zingine pia ni ukataji wa bima ya gari
 
Naomba gharama za kuvusha+TRA Pajero mini (1996)toka Zanzibar kuja bara.
 
Back
Top Bottom