Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 71
- Thread starter
-
- #21
At least you have said the truth.Hoja iliyotolewa ni ya Kipumbavu sana.basi kwa akili yenu Lema ni mwanamke,so what,na kwanini msijadili ya ccm wenye akili na ambao ni wanaume?
Acha kujidhalisha wewe mama...unaandika chenga halafu unataka tukusapoti. jiheshimu!kuna jamaa b*s*a wake alikuwa jela baada ya kuimiss ilibidi aende kituoni na kutoa matusi
Uliona wapi mwanaume, Baba mwenye nyumba, Mzee wa familia akawa omba omba?
Hao walikuwa wanatoa maoni yao, si ndiyo inayoitwa people's power hiyo?Eti niliingia kwenye mgahawa mmoja mjini,eti nikawakuta watu wanajadili kuhusu Lema,eti watu wanaojipeleka gerezani,eti mzee mmoja akasema,anachezea serikali legelege ya jk,eti wanasema alitaka akadake posho za bunge eti eti! Wewe unafikiria nn?acheni majungu na umbea
Hao walikuwa wanatoa maoni yao, si ndiyo inayoitwa people's power hiyo?
Hili bandiko limetulia!Bora mwanaume anayejipeleka jela kwa kutetea haki ya wapiga kura wake kuliko mwanaume anayehongwa suti na mwanaume mwenzake.
Tanzania.Uliona wapi mwanaume, Baba mwenye nyumba, Mzee wa familia akawa omba omba?