Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,612
Hahaha mjukuu nilishagampatia zaman enz za barehe anasubr tu kuona kijana wake naanza maisha ya ndoa rasmiNdo mchangamke mumletee wajukuu sasa kumpunguzia maza upweke
Hahaha mjukuu nilishagampatia zaman enz za barehe anasubr tu kuona kijana wake naanza maisha ya ndoa rasmiNdo mchangamke mumletee wajukuu sasa kumpunguzia maza upweke
Hali imebadilika siku hizi, wakati nakua mwanaume wa miaka 28 aliheshimika na aliweza kupewa majukumu ya ubaba kabisa lkn saiv ni tofauti kabisa, 28 Bado anawaza kunyoa kiduku na kudanga kwa wamaza ya mjiniSasa hivi angalau wakifikisha 35 ndio unaona mtu anaanza kujitambua, hata akiongea unaona anaongea vitu vya maana. Siku hizi ndio umri wao wa kukua.
Mtu anaweza kuongea jambo unamuuliza umri anakwambia ana over 30!!! Unabaki tu "like serious"!!!!
Hapo vizuri hongera sana, nakuombea kila la heri ktk mipango yako, mama atafurahi sana ukipata jikoHahaha mjukuu nilishagampatia zaman enz za barehe anasubr tu kuona kijana wake naanza maisha ya ndoa rasmi
AmenHapo vizuri hongera sana, nakuombea kila la heri ktk mipango yako, mama atafurahi sana ukipata jiko
Zama zimebadilika si kila homa ni maraliaHali imebadilika siku hizi, wakati nakua mwanaume wa miaka 28 aliheshimika na aliweza kupewa majukumu ya ubaba kabisa lkn saiv ni tofauti kabisa, 28 Bado anawaza kunyoa kiduku na kudanga kwa wamaza ya mjini
Kabisa maadili yameshuka mnoZama zimebadilika si kila homa ni maralia
Hiki kizaz cha insta cha diamond, kiba,Sijui ubuyu wa mange unategemea vijana waweje mtu over 30 bado yupo kwao akili haiwezi kukaa sawa hata siku moja ogopa watu wa hivyoKabisa maadili yameshuka mno
Kijana ana 30 Bado anakula ugali wa home na kugombania remote na wadogo zake hahahahaaa, mwingine anaoa mke anamleta kwao Halafu anamuomba baba yake amnunulie smartphone hizi ni aibu sanaHiki kizaz cha insta cha diamond, kiba,Sijui ubuyu wa mange unategemea vijana waweje mtu over 30 bado yupo kwao akili haiwezi kukaa sawa hata siku moja ogopa watu wa hivyo
Kwakweli ni shughuli pevu.Hali imebadilika siku hizi, wakati nakua mwanaume wa miaka 28 aliheshimika na aliweza kupewa majukumu ya ubaba kabisa lkn saiv ni tofauti kabisa, 28 Bado anawaza kunyoa kiduku na kudanga kwa wamaza ya mjini
Kuna vijana hapa ninakoishi mtu mpo same age anakuuliza mbona una simu ya kawaida hvy chukua simu kali unatuaibisha wewe umejenga una usafr na majukumu madogo madogo yeye bado anasimulia mali za baba ake sijui kwetu pa kishua mshua kanunua huki mara kileKijana ana 30 Bado anakula ugali wa home na kugombania remote na wadogo zake hahahahaaa, mwingine anaoa mke anamleta kwao Halafu anamuomba baba yake amnunulie smartphone hizi ni aibu sana
Ukiona hivyo kabemendwa akili na mali za babake,hapo ndo mwisho wake wakufikiri umeishiaKuna vijana hapa ninakoishi mtu mpo same age anakuuliza mbona una simu ya kawaida hvy chukua simu kali unatuaibisha wewe umejenga una usafr na majukumu madogo madogo yeye bado anasimulia mali za baba ake sijui kwetu pa kishua mshua kanunua huki mara kile
Sasa ni muda muafaka wa kufikiriaKumbe!!! Bado miwili nifikishe40 na sijafikiria[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Ipi mamii?Natamani thread ya hii isue hahaa
Isue ya kapeace ya kuolewa akiwa mdogo😀Ipi mamii?
Ok!Isue ya kapeace ya kuolewa akiwa mdogo😀
Ushauri wako wa leo ni mbaya!nimeolewa na 25yrs mume akiwa na 27! kwakweli niliwahi sana kuolewa !niliwah mnoooooooooo !napendekeza jaman wasichana mkitoka vyuoni fanyen kazi walau 4yrs yaan hakikisha starehe umezifanya kweli kweli !atleas uolewe na 28/29 unakuwa atleast umemachua kias ! na mume atleast awe na 32 ! nina mdg angu ana 30 namwambiaga ukwel dogo kula life kwanza huku anza kufikiria ukiwa na 33 !
In either way, POLE!Ulijichimbia wapi mamito??
Niliolewa na 18 kasoro wakati huo mume alikuwa 32, niliolewa zile ndoa km za kizamani analetwa mume na mashangazi na mume nilimjua siku naenda kuolewa, kisa tu cha aunt kunifanyia ivo ni story ndefu best
Asante mkuuIn either way, POLE!