Kwa hili, nakuunga mkono! Ni jambo zuri kuolewa ukiwa na umri mkubwa endapo muda mwingi uliutumia kwa mambo ya msingi kama masomo, kuuguza, biashara, kujitolea, n.k; SIYO kwa kwa sababu ya KUUCHAKAZA mwili kwa ulevi, uasherati, n.k. Ni heri aliyeolewa akiwa na miaka 18 kuliko anayechelewa kwa sababu hizi DHAIFU.miaka hii vijana wa miaka 27 jaman wana akili za kitoto jaman hupat kusema !na wasichaan 23 jaman aingie ndoani amesoma saa ngap? atleast uolewe ukiwa una kamasters kako umefel sana kadgree