Kwani Ulimboka bado mzima?
Huyu itakuwa ni robot. Mbavu, Meno. Miguu, Taya, Tumbo, Makalio, kavutwa na gari (ina maana michubuko mwili mzima) na maumivu mwili mzima. Bado yuko hai?
Namtakia maisha mema na mgomo mwema.
Waliomfanyia hivyo wana sababu nzuri sana.
Kuna mwanamke wa miaka 23 likuwa ajifunguwe kwa opereshen, dokta aliyekuwepo akasema mpelekeni bungeni akapasuliwe, hapa atazaa mwenyewe tu, matokeo yeye na mtoto wamepoteza maisha. Inasikitisha sana.
Uko sahihi Zomba, ila umesahau jambo moja. Ungeandika "Kwani Ulimboka bado mzima?
Huyu itakuwa ni robot. Tumemvunja Mbavu, Meno. Miguu, Taya, Tumbo, Makalio, tumemvuta na gari (ina maana michubuko mwili mzima) ili apate maumivu mwili mzima, tukamtupa. Yaani kumbe bado yuko hai?."
Hii ingesaidia kutimiza azma yako ya kuonyesha unyama uliojaaliwa.
You might be one of these culprits who attempted to kill him!Kwani Ulimboka bado mzima?
Huyu itakuwa ni robot. Mbavu, Meno. Miguu, Taya, Tumbo, Makalio, kavutwa na gari (ina maana michubuko mwili mzima) na maumivu mwili mzima. Bado yuko hai?
Namtakia maisha mema na mgomo mwema.
You are pathetic for not considering the majority because of your personel cormfort.
Ni bora kwa sasa kwa kila anaehitaji kuingia hapo kwenye chumba cha mgonjwa NI LAZIMA AWE NA KITAMBULISHO MAALUM NA DHARURA ILIYOMFANYA ATAKE KUMUONA MGONJWA,ICU si ruhusa mgonjwa kutembelewa ,yaani inakuwa NO ENTRY ,Pia mtembeleaji huyo akubali kusachiwa ,asiruhusiwe kuingia na chochote kile ,silaha simu au pochi vyote akabidhi sehemu maalumu iliyo na dhamana kwa kukaguliwa vilivyo.
Na jambo hilo liwe kwa yeyote yule bila ya kujali Cheo Chake.
You might be one of these culprits who attempted to kill him!
Hivi nyinyi watu wa CHADEMA mnaomwenea huruma Dk. Ulimboka mna akili au ni matahira, hivi mnapima impact ya huu mgomo kwa walalahoi,mgomo kama utaendelea unaweza kuathiri maelfu ya watu, ni heri afe mtu mmoja ili tuokoe mausha ya wengi.Huyu Dk. nadhani anatumiwa na CHADEMA ili kutimiza ndoto zao za kutaka nchi isitawalike. Nalaani mgomo huu na wote wanaousaport.Tuache ushabiki kama una jamaa yako aliyeathirika na mgomo wa madaktari kwa sababu hizi za kisiasa ungetamani Dk. Ulimwoka afilie mbali ili tuokoe maisha ya ndugu zetu walio wengi.Mungu wateketeze wote wanaoshabikia huu mgomo kwa maslahi yao ya kisiasa.
Re think, who are the majority? Ulimboka or the sick at the hospitals?
Ulimboka(dr.) was leading a fight for good health services for all people including those who are in hospitals. It is you has to re-think