Ulinzi wa Rais Samia Marekani upoje?

Naona wengi wanatetea ulinzi na mama kuwa salama
Hata kama ana maadui wanaomsema humu kila siku na hakuna mtu anaependwa na wote

Rajiv Gandhi aliuwawa akiwa ameshuka kwenye gari wakati wa kampeni tena kapelekewa shada la maua na ndani kukiwa na Bomb

Hata aliempiga risasi Pope hakuna na uadui nae ila alitaka umaarufu tu

Kiongozi ni kiongozi tu na ulinzi amepewa wamlinde ila likitokea la kutokea basi ila wamemlinda
Hapo na simu kabisa mlinzi anaipokea

Wengi watapinga ila najua mengi
 
MANGE NA SAMIA WANAJUANA HAO...../
nawasiwasi na zile taarifa nyeti zilizokuwa zikivuja toka ikulu na kumfikia Mange , enzi ya utawala wa awam ya five.
!!!!!!!
 
Huyo Mange na Yule Iron Lady ni zuga za Usalama,Usishangae kabisa kwa Mlinzi kupokea simu ya Mange na kupiga picha,
Mange ni mulemule.Wapo huko walipo kwa kazi maalum
 
 
 
Yaani yule mpambe Kanali, kakubali hadi kumbebea Mange handbag ili ampe nafasi nzuri ya kupiga picha


Yule PSU wa Tiss nae akakubali kushika simu ya Mange ampige picha akiwa na Namba moja!!

Wakuu wa Makumbusho na Mbweni hakika leo vijana wenu wamewavua nguo mchana kweupeeee


Inashangaza Kwa kweli lazima Safari ikimalizika watu wawajinishwe vijana tupo tuu hatuna ajira watu Wana piga watu picture
 
NADHANI WALINZI WOTE HAO NDO MARA YA KWANZA KUPATA HIYO EXPERIENCE WAZEEWW

ILA INAUMIZA MOYO WADAU
 
Ukiachana na huyo aliyepiga picha kuna wale wadada wawili wanaokuwa pembeni na Rais mmoja alikuwa anavuta mabegi hadi nikajiuliza ulinzi anafanya saa ngapi sasa alikosekana mwingine wa kubeba.!
 
Sio kweli! Obama au Bush walipokuja Tanzania,walikua wanalindwa na walinzi wa Tanzania walipokua nje ya Hoteli??
Mkuu kwanza usibishe Kama hujui soma viena convention.

Pili Kuna exceptions za Marais watano ambao, ulinzi wa viongozi wao ni jukumu lao muda wote.

Somma Kisha utuambie Nani mkweli
 
Walinzi wa connection hawajui wajibu wao
 
Mange Kimambi ni mtanzania anayeishi Marekani.

Alijizolewa umaarafu kwa kupinga wazi wazi sera za Hayati JPM. Alishangalia kifo cha JPM na kuweka mitandaoni.

Bila kujadili kama alikua sahihi kumpinga JPM kulikua na ulazima kwa wanausalama kumruhusu kupiga picha na Raisi Samia.

Kulikua na ulazima taasisi ya uraisi kujishugulisha na Mange Kimambi?

Kwa upande wangu haikua sahihi na one of the security protocols blunder.
 
Chief Hangaya sio adui wa Mange.

Adui wa Mange walikuwa
-Magufuli
-Makonda
-Na yule Sheikh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…