Ulinzi wa geti kwenye biashara

Ulinzi wa geti kwenye biashara

Ni kweli pia,

Kuna mkinga tumempangisha aisee duka stoo pia limejaa na analalaga mwenyewe nawazaga likitokea la kutokea itakuwaje

Mungu aepushe,l
Kwakweli ni kumwomba Mungu tu, na kuhakikisha kuna ulinzi wa kutosha basi.., maanake ukisema ujilindie mwenyewe kama hivyo nayo ni hatari
 
Hahaha hapo kigaigai. Je ni reliable wana insurance?

Ila swala la ulinzi wa maisha yako na familia yako na mali ni muhimu. Wezi ni wengi sana.
Wako full insured ni vile tu wanawanyonya walinzi wao kiufupi staff wao hawana maisha wanakula 80k na mzigo wa punda
 
Ni kweli pia,

Kuna mkinga tumempangisha aisee duka stoo pia limejaa na analalaga mwenyewe nawazaga likitokea la kutokea itakuwaje

Mungu aepushe,l
Acheni uoga kama kuna mtu analala ndani sasa lakutokea likitokea si atapambana hao ni vibaka kama kuna mtu hawawezi kuingia kwani mlinzi anamzidi nini sana huyo kijana.

Apewe silaha kama panga, mkuki, mshale na nyingine nitakuambia pm. Fikiria ni wewe upo ndani wezi wamekuvaamia kwanza unapiga filimbi na kisha kuangalia namna ya kupambana na kujiokoa ikibidi. Uoga ni mbaya sana mwaka juzi alivaamiwa jirani yangu.

Akaanza kupiga kelele ndani ya fensi yake mvua inanyesha kusikia nikafungua mlango nikaanza kurusha mawe juu ya bati lake na kipiga kelele wezi/ vibaka hawaondoki wanakagua mtu wanakuja kweli.

Walikuwa ni wenyeji wa mtaa kumbe wanajiamini na walikuja kulipa kisasi/ kumuua jamaa nikamuasha dogo nikafika getini wakaona so nao wakatoka wanazuga yukwapi akasepa wengine walitokea kwenye fensi hivyo ndivyo nilivyomuokoa jamaa.

Ukivaamiwa uko ndani na familia unafanyaje? Nje kuna vibaka 2-3 unafanjaje? Ishu ni kujiandaa kujilinda na vibaka wenye silaha za jadi. Ukiwazidi kidogo lazima wapotee ila lengo lako liwe ni kitoa uhai wao.

Kawaida kibaka akiwa anavunja au kufungua mlango akisikia umeamka
 
Si rahisi ki hivyo.
 
Wewe umewaza kuvamiwa tu,
Jua kuwa Kuna shock za umeme, na majanga mengine ya moto
 
Mwizi akikamatwa kwenye tukio auawe tu
 
Kuna makufuli hizo master key c chochote c lolote
Upo sahihi Mkuu.

Lakini sasaivi hawakati/Kufungua kufuli ni wanakata zile tundu za kuingizia kufuli
 
Kufuli lipo kwa ndani anakataje sasa? Labda abomoe geti zima kitu ambacho ni ngumu
 
Namsikitikia sana Raimundo wa JF alianza kututapeli humuhumu akaona haitoshi sasa ameanza uwizi wa kuwavunjia maduka wana Jf wenzake
 
Back
Top Bottom