Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 4,197
- 14,890
Habari zenu Wakuu,
Mimi ni mfanya biashara na nina fremu yangu mahali, sasa kuna jirani yangu amevunjiwa fremu yake na wezi na imepelekea na sisi wafanyabiashara wengine tuwe na wasiwasi kuhusu hilo tukio.
Yeye alievunjiwa ni ana geti na huwa anafunga na kufuri tu, lakini wamekata zile tundu za kuingizia kufuli na kuingia Dukani kwake.
Hapa shop kwangu namimi nina geti kama lake, sasa nilikuwa nafikiria kuweka kitasa kwenye geti langu ili niwe nafunga na kufuli pamoja na kitasa.
Wakuu nikiweka kitasa cha geti kitasaidia, au na hicho wezi wanambinu ya kukivunja?
NITASHUKURU MKINIJIBU