Ulinzi mwingine ni kero sana

Niliwahi kugombea Urais wa Chuo kipindi fulani nikiwa Chuoni Bahati mbaya nikawa nimezidiwa kura na mgombea mwenza (Nikawa Makamo wa Rais wa serikali ya Wanafunzi)

Baada ya kula viapo vya uongozi nikaanza kazi ya kuongoza wanafunzi (Rais alikuwa ni mwanamke ila madaraka makubwa ni kama yaliniangukia mimi kutokana na Misimamo yangu).

Dk 15 Baada ya Kiapo Makofi yalikuwa ya kawaida nilikuwa gaidi sana (hakika kipindi kile nilihitaji ulinzi kama wa Mh Magufuli) Nilikuwa napambana na magenge ya watu kama sio kwa maneno basi hata kwa ubabe.

Ulinzi kwa marais ni kitu muhimu naweza kusema hivyo.
 
Avatar yako inaonesha tuu.
 
Avatar yako inaonesha tuu.
Nashangaa watu wanavyosema Magufuli ni Mbabe ningekuwa kwenye hicho kiti watu wangekuwa wanaondoka Nchini mmoja mmoja.

Uongozi unahitaji uwe na ulinzi wa ziada kama utaamua kupambana na watu waovu.
 
Hv Rais akitaka kuchepuka na toto kali atazuiwa?

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahahaaa uncle Ben alikuwa a najiachia sana.

Jinsi gani au ilikuwa inafanyikaje siwezi sema hapa.

Ila inawezekana sana mkawa wawili tuu, yaani mkuu na totoz pekeyao. Wakimalizana akiingia kwenye gari ndo board guard wanaanza kazi yao kumrudisha mjengoni.
 
Hahaha Sasa anasali nini wakati haamini ulinzi wa mungu
Mchungaji/Nabii/Mtume anayekuuzia 'maji ya upako' au sticker uweke kwenye mlango wa nyumba yako, yeye analindwa na bodyguards kama nane hivi. Imani bana ni kitu tofauti sana
 
Hahahahaaa uncle Ben alikuwa a najiachia sana.

Jinsi gani au ilikuwa inafanyikaje siwezi sema hapa.

Ila inawezekana sana mkawa wawili tuu, yaani mkuu na totoz pekeyao. Wakimalizana akiingia kwenye gari ndo board guard wanaanza kazi yao kumrudisha mjengoni.
Hooooo! Naomba mbinu nami nitumie kwenye ndoa yangu maana nina mlinzi ambae ananilinda.
 
Wakuu naombeni kuuliza,hivi mbona hawa jamaa (walinzi wa mkulu) kama huwa hawaaminiani vile,yaanubunaweza kuta mkulu anazifata kamera kwenye watu wengi jamaa huwa wanapigana vikumbo wenyewe kwa wenyewe kumzumguka mkulu.?
Pia ukitazama picha hiyo licha ya wengine kuweka concentration huko nyuma kumlinda mkulu ila jamaa mwingine hapo kageuka kuwacheki guards wa nyuma.
Iko vipi hii?
kama yupi anacheki wa nyuma??
 
Hooooo! Naomba mbinu nami nitumie kwenye ndoa yangu maana nina mlinzi ambae ananilinda.

Hahahahaaa siwezi to a siri bana watanistukia, labda wakisoma hapa wakwambie wenyewe.

Ngoja tuu watakuja kukwambia.
 
Hahahahaaa looh

Catch you. ..
Mkapa mbona watu wanajua wengi tu mishe zake?? Alikua anatoka ikulu usiku anaenda zake kupata kiraji pale salender,kuna mlinzi wake mstaafu tunaishi nae huku hua anatupa ma story ya town!!!
 
Hahahahaaa uncle Ben alikuwa a najiachia sana.

Jinsi gani au ilikuwa inafanyikaje siwezi sema hapa.

Ila inawezekana sana mkawa wawili tuu, yaani mkuu na totoz pekeyao. Wakimalizana akiingia kwenye gari ndo board guard wanaanza kazi yao kumrudisha mjengoni.
Anko na ule mtambi mashine ilikuwa inapanda kwel?
 
Back
Top Bottom