Ulinzi mwingine ni kero sana

Mkapa mbona watu wanajua wengi tu mishe zake?? Alikua anatoka ikulu usiku anaenda zake kupata kiraji pale salender,kuna mlinzi wake mstaafu tunaishi nae huku hua anatupa ma story ya town!!!

Siwezi kubali wala kataa kwa muktadha wangu mwenyewe...

Umenikumbusha maneno niliyokuwa nayasikia mitaani miaka ile....

Kawawa funika kikombee hehehehee sijajua hadi leo kama hii habari ni kweli au ilikuwa changamsha genge.
 
Back
Top Bottom