Mbepo yamba
JF-Expert Member
- Aug 5, 2012
- 1,384
- 2,081
Kuanzia Mwenge, Ubungo na hadi kwenda mjini. Polisi wamejaa na gari zao. Kama wako tayari. Tayari kwa nini? Chadema wana mkutano au maandamano?
Acheni uongo, weka pichaKuanzia Mwenge, Ubungo na hadi kwenda mjini. Polisi wamejaa na gari zao. Kama wako tayari. Tayari kwa nini? Chadema wana mkutano au maandamano?
Tuwekee picha tulio Makete.Kuanzia Mwenge, Ubungo na hadi kwenda mjini. Polisi wamejaa na gari zao. Kama wako tayari. Tayari kwa nini? Chadema wana mkutano au maandamano?
Mambo kwa ushahidiAcheni uongo, weka picha
Waumini wa Gwajiboy Posta?Sio wanazuia waumini wa gwaji boy
WamefanyajeWaumini wa Gwajiboy Posta?
Nashindwa kupiga maana mimi ni bodaboda. Napita huko nikiwa naendeshaMambo kwa ushahidi
Inasikitisha kama Tu kama kifo cha mtoto kipenzi cha Imam wetu Ali Asghar aliyekufa mkononi mwake na mshale shingoni. Imam wetu kipenzi Hussain ibn Ali ASmkombozi wa waislamu aliyeuwawa kikatili kuutetea, kuulinda na kuupigania uislamu dhidi ya dhulma, ukandamizaji, unyanyasaji na uonevu alilmkumbatia na kulia Sana.Kuanzia Mwenge, Ubungo na hadi kwenda mjini. Polisi wamejaa na gari zao. Kama wako tayari. Tayari kwa nini? Chadema wana mkutano au maandamano?
Ni mimi nipo na shemeji yenu kwenye chopa ya Chaumma , tutakuwa na mikutano mikubwa kwenye hayo maeneo uliyoyataja, hivyo kwa usalama wa kila mmoja nimewaambia waimarishe ulinzi.Kuanzia Mwenge, Ubungo na hadi kwenda mjini. Polisi wamejaa na gari zao. Kama wako tayari. Tayari kwa nini? Chadema wana mkutano au maandamano?
angalieni vizuri kitanzi alichomwandalia Lisu asije ingia mwenyeweHajarudi toka Zanzibar
Utaokota makopo soonInasikitisha kama Tu kama kifo cha mtoto kipenzi cha Imam wetu Ali Asghar aliyekufa mkononi mwake na mshale shingoni. Imam wetu kipenzi Hussain ibn Ali ASmkombozi wa waislamu aliyeuwawa kikatili kuutetea, kuulinda na kuupigania uislamu dhidi ya dhulma, ukandamizaji, unyanyasaji na uonevu alilmkumbatia na kulia Sana.
View attachment 3411966
Kivipimagogoni pamekuwa pa moto
Nitaokota makopo mara ngapi?Utaokota makopo soon
Wanapenda pirika pirikaIla watu 😁😁😁