umesahau wakiingia kulala kila chumba kinapigwa komeo na funguo. life in towns is for the desperate,hujaongelea ulinzi wa magari yaliyopaki gereji ambayo nayo ina lango la chuma. anzia kwenye gear lock,pedal lock, car track, alarm ya kukata mafuta, comprehensive insurance, na siku hizi kuna insurance ya kioo cha mbele. kha!