Ulinzi kwake ni Muhimu kabla ya 13:08:2026

Ulinzi kwake ni Muhimu kabla ya 13:08:2026

Akae rada sana
Nitakwambia, bila ya kumng'unyua neno; mitutu yooote inayomzunguka ikimpa matumaini ya kuiona kesho, mmoja wa mitutu hiyo ndio utamaliza kazi.

Keep watching this space.

HEBU KWANZA: Hivi ikitokea ikawa hivyo. Huyu 'britannica' ataendelea kuwa mwenzetu hapa JF? Mbona atakuwa anatembea juu ya mawingu huku amezungukwa na waimba kwaya wa mataifa yote duniani!
Ni wazo tu, limepita mbele ya uso wangu.
 
Back
Top Bottom