swadaktaaa, wengi hawaamini wanapo ambiwa ukweli. ukiwadanganya ndio wanaaminiNafikiri wewe ni mzoefu sana hapa JF na ni moja ya watu walioona thread nyingi sana na mabadiliko ya aina mbalimbali kwa miaka yote uliyokuwepo kama ya kiuandishi,misemo,matusi na changamoto nyingine
Kwa uzoefu wako tayari najua unafahamu kuna watu wengine wanaleta mada ambazo either zimewakuta au wamezisikia hii yote ni kwa sababu tunatumia id fake
Kikubwa ni kuleta kisa ambacho watu wanaweza kuchangia full stop.
Sjasema umpige, nasemea uanaume wako, stand as a manyote maisha tu, sie wengine hatuwezi kupigana na wanawake. ni udhaifu wa level ya chini sana kwa mwanamme kupigana na mwanamke, especially mwanamke anaempenda.
Kwanini usiende kwa anaekuelewa sana?Yap ananielewa ila hawezi fikia yule,
Yule ananielewa mpaka basi,
Kwanini usiende kwa anaekuelewa sana?
Hapana wewe umefikiria hivyo na kwanini ufikirie hivyo? Namanisha ukapashe kiporo ule mkuu mana kilikua chakula chako hapo kipindi cha nyumaNini kwamba ni story ya kutunga?
kuna mda inabidi uchore mstari sio unakubali tuunyie mnaojifanya wagumu ndio mnaongoza kwa kuendeshwa na wanawake zenu.
Haha haha haha jamiiforums kuna rahaKwahiyo sahivi kumnunulia viatu unaweza mkuu?
kosa lake alafu anakupiga na kofi apo ni kuvuka mipaka.Mwanamke anafikiaje hatua ya kukunasa kibao mwanaume?? Loh
nawe kwa kushitukashhituka sijui unakuwaje?
Siyo mambo yote unaweza kutumia nguvu kutatua tatizo. Hekima na busara ni njia nzuri sana. Km nayy angetumia nguvu unafikiri angekuwa wapi? Mtoa uzi ametumia busara sana.Hahaha yani hapo ulipo kubali kuzabwa kibao na huyo mwanamke ndipo ulipo ni kera...alijua wewe ni mjinga mjinga ndio maana alio akupige....Hivi unaanzaje kupigwa vibao na mwanamke na wewe una angalia tuu..... Hayo mapenzi ya kizungu yana waponza sana.....
Mwanamke anacho penda zaidi kwa mwanaume ni pale tuu mwanaume anapokuwa imara kiuchumi....
Hahahhaa halaf akatuliakosa lake alafu anakupiga na kofi apo ni kuvuka mipaka.
Kutulia haimainiishi alishindwa kumpa vitasa. Nampongeza sana mtoa uzi sbb unaweza ukampiga ukamvunja hata mbavu ambapo baadae ingemgharimu hata kufungwa jela na faini pia. Baada ya kumpiga akaenda huyo mwanamke alipata nini? Malipo ni hapa hapa duniani. Ktk maisha yako yote epuka ugomvi sbb unaweza kupiga ukaua ukafungwa jela maisha au kunyongwa sasa hapo utakuwa umepata faida gani?Hahahhaa halaf akatulia
asante mkuu, umemaliza mjadala. wengi humu wanadhani nduvu ndio msuluhishi wa kila mzozo. muda mwingine subira ndio the only solution.Kutulia haimainiishi alishindwa kumpa vitasa. Nampongeza sana mtoa uzi sbb unaweza ukampiga ukamvunja hata mbavu ambapo baadae ingemgharimu hata kufungwa jela na faini pia. Baada ya kumpiga akaenda huyo mwanamke alipata nini? Malipo ni hapa hapa duniani. Ktk maisha yako yote epuka ugomvi sbb unaweza kupiga ukaua ukafungwa jela maisha au kunyongwa sasa hapo utakuwa umepata faida gani?