Ulinitesa sana, sababu nilikupenda

Ulinitesa sana, sababu nilikupenda

Akakuzaba kibao? Huko alikotegemea atapata pumziko kumemtenda sivo ndio mana amerudi, kwa kua umemsamehe sawa lakini ningekua ni wewe ningemsamehe huku namtakia kila heri kimoyomoyo maisha yaende tu,
nimemsamehe , ila sirarudiana nae, sasa hivi nnae ambae ananipenda na mie nampenda.
 
fanya uchunguzi, kama ukijiri dhirisha hakupendi achana nae. usi force mapenzi, love is natural.
Nashkuru kwa ushauriii ila nampenda asee basii tuu...leo nimechukua chumba ili aje ata tuonane na tuongee vizurii coz tunapokaa hamna mazingira mazuri ya kukaa, nampigia sim saaa za kukutana hapokei sim imeniuma sanaa

Ivii kwa nn mapenzi yapo ivii unayempenda haeleweki kabsaaa...inshort mapenz ni pasua kichwa apa nawaza sjui niwe nanunua papuch tuu niachane na kudate na mtu kwa malengoo

Fuvk hii type ya girls kama hanitaki si aniambie tuu
 
mapenzi na siasa ni watoto wa baba mmoja mama mmoja.
uongo, ulaghai,usaliti ndio rules za mchezo.
 
Sijui ni kwa nini tu wengi wanaondoka kwa njia kama hizo huwa wanaishia maisha ya majuto yasiyo kifani dawa Yao unawaangalia tu nakiwaacha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom