GreenLight
JF-Expert Member
- Oct 27, 2023
- 300
- 545
Haha UTI sugu hatari hiyooKipindi hicho mtoto mzuri bado hujatiwa unajisi wala kupewa UTI sugu na hawa kina Manka wa Machame na Tuntufye wa Tukuyu. Indeed, best moments to be alive
Sema mm sijawahi kula weed na sitakuja jaribuKipindi mipango yako kwa 80% inaenda kama ulivyopanga. Unajichanga unaenda kula weed kwenye fukwe na kamziki fulani hivi, kwakua sinywi bia nakua na lilefanta big(2,000/=) naenjoy taratiiibu. Dah ngoja nijichange wekend nikale bangi sehemu imepoa.
Amina.Moment nzuri zinatengenezwa kila siku...
Kikubwa furaha Tu coz Sisi ndo wale tuliobarikiwa na mungu
Daah. Hapo unarudi home nguo chafuu wala huwazi maana hufui wwUtotoni, tunacheza mtoni, tunaogelea tunaenda kucheza mbugani hadi tunapoteza viatu😁
Tunaogeshwa tunapiga msosi tunapiga sala tunalala aiseeee nkikumbuka utotoni dah 🤔🤔🤔🤔sijui ile chance kama itarudigi hamna kunyoa ndevu kwapa & zivu hamna kusaka 💸💸💸Daah. Hapo unarudi home nguo chafuu wala huwazi maana hufui ww
Hakuna mawazo ile age. Labda uone wazazi wakipigana ndio utatesekaTunaogeshwa tunapiga msosi tunapiga sala tunalala aiseeee nkikumbuka utotoni dah 🤔🤔🤔🤔sijui ile chance kama itarudigi hamna kunyoa ndevu kwapa & zivu hamna kusaka 💸💸💸
Hata wakipigana huwezi juaHakuna mawazo ile age. Labda uone wazazi wakipigana ndio utateseka
Kuna wale wanatwangana mbele ya watotoHata wakipigana huwezi jua
Unakosa mengi mkuuSema mm sijawahi kula weed na sitakuja jaribu
Akina Ntuntufye na Manka wamekukosea nini🤪Kipindi hicho mtoto mzuri bado hujatiwa unajisi wala kupewa UTI sugu na hawa kina Manka wa Machame na Tuntufye wa Tukuyu. Indeed, best moments to be alive