NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 8,670
- 17,767
Ina Maana umecheki aiseh!!!?
Uko kwenye hatua nzuri ya mafanikio.. HUTAKUFA MASIKINI na utakuwa mtu kati ya watu.. Kikubwa focus na usikate tamaa umri bado unaruhusu.. Nakuombea..!