Ulimwengu wa roho ni timilifu

Ulimwengu wa kiroho hauna makosa kabisa. Hii Nikweli isiyopingika. You can not pretend (huwezi kuigiza) kuwa wewe ni mwema wakati sio. Ulimwengu wa kiroho unasheria zake ama kanuni. This life is not pre-planned at all.
Sure, life is not pre planned! Ninachokubaliana na mshana ni kuwa hakuna jambo lolote linalokutokea kwa bahati mbaya, hii ni kweli. Kila jambo unalofanya ni kwa ajili yako mwenyewe liwe baya au jema, ni kwa ajili yako mwenyewe. Ndio maana hata kusamehe ni kwa ajili yako mwenyewe sio kwa ajili ya yule aliyekukosea. Ulimwengu wa rohoni una kanuni zake, upo preplanned kwa matendo yako mwenyewe na mawazo yako ya kila siku. Mwenyezi MUNGU kaweke uhuru wa kila mtu kufanya atakacho na ametufundisha kila ufanyalo hatima yake ni nini. Kwa maana hiyo kesho yako imepangwa na ww mwenyewe. Kitu pekee ambacho hakijapangwa na mwanadamu ama matendo yako ni uwepo wa mauti.
Kimsingi ni kuwa kila kinachokupata ni kichumo cha mikono yako Mwenyewe, ndio maana tunaambiwa tushukuru kwa kila jambo na kutubia.
 
Asante kwa uwasilishaji mzuri wenye kueleweka kwa urahisi mno ....barikiwa zaidi na zaidi
 
Kwa maneno haya huwa nayapinga sana lakini sina uhakika pia kuwa ni sawa au si sawa. Naomba kujuzwa hapa mkuu ikiwa kabla sijazaliwa uwepo wangu unajulikana anayejua ni mungu nadhani, kwamba nitazaliwa na nani,nitaishije,mema na mabaya gani nitafanya na kila kitu na kila kitu na kila kitu mpaka mwisho wangu kama ulivyosema,
Sasa, sisi tuna hatia gani kwa mungu ikiwa tunakamilisha tu mzunguko ambao tayari umeshapangwa ambao hatuwezi kuupindisha au kuuepuka??

Kwa maneno hayo, ni kwamba binadamu hatuna hatia kwa mambo yoyote yanayotokea maishani mwetu

Bandiko lako nadhani linatambua uwepo wa mungu pale unaposema mambo yanakuwa yameshapangwa nadhani mungu ndio anahusika kwenye huo mpango wa mambo kwa nini sisi tuwe na hatia??
 
Ni kwakuwa unakiona wewe kwa mtazamo wa kimwili ila sio mpango wa Mungu
 

edwin george hebu msome katichi
 
How is nothingness attained by us human beings, meditation?
 
Kwa maelezo ya katichi najaribu kuelewa lakini naamini mungu aliacha watu wawe huru kufanya wanachotaka baada ya uasi wa adam na hawa mpaka leo najua kuwa dunia inatawaliwa na shetani
Pale adam na hawa walipojua mema na mabaya walikuwa huru kuchagua na kupitia hayo mwisho ndio kuna hukumu yake kwamba wewe ulichagu kuishi vipi duniani
 
Kwa muktadha wa kimwili uko sahihi lakini kiroho hapana
 
Kwa muktadha wa kimwili uko sahihi lakini kiroho hapana
Mshana Jr nafatiliaga sana mada zako, ni mtu makini zaidi unahitaji kuelimisha na kufundisha. Sijawahi sikia umetapeli mtu yeyote. Mtu mzito unamfahamu vizuri tu, mwambie atafute kazi za kufanya, atakuja kuf.irwa namupnea huruma sana bado kijana mdogo uganga hawezi.
 
Mmh asante lakini hayo ya Mtu mzito ndugu yangu lugha imekuwa kali kidogo
 
Yule jamaa alinipiga 70k mwez wa 12 mwaka jana, ntapanga siku nkamfanyie suprise na kikosi kazi ili ajue kuna binadamu
 
Mshana hii mada hua anaifundisha sana mwakasege nmeunganisha na hii napata kuelewa but kuna njia gani hasa kama ww unaweza msaidia mtu akatambua huu ulimwengu hasa kwa yaliyopita kwa mababu au wazee wake kwa maombi tnashauriwa tusali sana lakini sometimes tuna kata tamaa au kuchukulia poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…