Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 22,514
- 34,146
Bundi huwa anaota mizoga itakayopatikana siku za baadae ndiyo maana mara nyingi kifo hutanguliwa na sauti za bundiIla huwezi kuamini kwa wachina eti ni bahati

Inabidi tuanzishe zoo the teal one unaonaje mkuuMjomba mshana upo habari ya masiku ndg