nashukuru mzima
JF-Expert Member
- Jul 11, 2017
- 1,011
- 1,915
Mazuri na mabaya ya SOKO HURIA na UTANDAWAZI.....Habari jf.
Kipi kimetokea katika ulimwengu wa mahusiano ,mapenzi ya sasa kama yamepoteza kabisa mvuto watu tunafanya ili Tuzaliane tu tofauti na wazee wetu.
Kuna Tabia zimejitokeza na zinaendelea kukua sijui zinatujenga katika msingi gani.
Wanawake wanaingiliwa tu kinyume na maumbile hadi waliolewa.
Kawaida sana wanandoa waleo kusalitiana.
Masingle mama wameongezeka Sana.
Wanaume kuzalisha songea kitu cha kawaida.
Wanaume wanaenda goli moja hawarudii.
Wanawake wamepoteza mvuto wana uke mkavu.
Wanaume wanakula Sana Erecto,Enjoy,viagra ,mkongo.
Wanawake wanajiuza .
Hakuna Furaha tena kama zamani.
Talaka kama karanga.
Kipi kimesababisha haya.?
Hii ni 2023! Hatuwezi kuishi kama tupo 1947!!Habari jf.

Wapuuzi wanajua kuigiza hawa ila naamini bibi na yeye anajifanya kuamini siku zisonge