deo paul555
JF-Expert Member
- Oct 22, 2018
- 1,405
- 529
Nashukuru sana mdau,Mimi nataka local za bongo tuu nyingine hapana,hivi wakibadir masafa hizi zinabadiri au mpaka ubadirishe mwenyewe?- Kuna Qsat model Q15, Q23, Q26 nk. Hizi bei zake zinaanzia 150,000/- kupanda juu kulingana na model. Hizi ni FTA (HD) lkn Uzuri wake ni kwamba ina unscramble channels zote zilizofungwa kwa PowerVU na BISS key. Hawa hawana decoder feki sokoni.
- Kuna Mediacom 940+, hii nayo ni FTA (HD) na ni nzuri pia, ingawa haina uwezo wa kufungua channels zilizofungwa kwa kwa BISS na PowerVU. Bei zake zinaanzia 95,000/- .
- Kuna Strong SRT 49 series (HD). Hizi ndio baba lao, na ni wakongwe sokoni kuliko hao hapo juu. Bei zao zmeshiba, na zinaanzia 250,000/- ingawa zipo feki nyingi sana. Hizi hufungua channels za FTA na zile zilizofungwa kwa BISS na PowerVu.
- Kuna Azsky G6 (HD), hii nayo inafungua FTA na zilizofungwa kwa BISS. Ni chache sana sokoni, ila bei inaanzia 200,000/-
- Kuna Astrovox (HD), nazo zipo sokoni ingawa sio pupular. Bei zake zinaanzia 80,000/-
- Kuna Starsat 2000 (HD) extreme, bei yake inaanzia 230,000/-.
- OnSat receiver inafungua FTA na canal 22w kwa account. Inauzwa kuanzia 190,000/-.
- Freesat v7 (HD) nayo inafungua FTA. Bei zake zinaanzia 100,000/-.
- OpenBox (HD) hii na yenyewe ina PowerVu,bisskeys, RF na be yake inaanzia 90,000/-.
- Digisat 9800 yenye rf, bisskey nk na bei yake inaanzia 85,000/-.
Nadhani kwa kuanzia unaweza kucheki hizo. Bei zinatofautiana kati ya duka na duka na namna unavyojipeleka.
Local za bongo unazipata bila shida kaka.Nashukuru sana mdau,Mimi nataka local za bongo tuu nyingine hapana,hivi wakibadir masafa hizi zinabadiri au mpaka ubadirishe mwenyewe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Inabidi ili nipate kwa ubora nifunge cband au ku? Nipe ubora wa kila technology hapo Ku na cband ili nijue msaada kaka.Local za bongo unazipata bila shida kaka.
Kuhusu swali lako, wenye satellite wakibadili masafa inabidi na wewe ubadilishe uelekeo wa dish lako ama size ya dish, kutegemea mabadiliko husika. Mfano, Continental walikuwa wanarusha 75E, nasikia wamehamia 46E. Inabidi kubadilisha dish kutoka uelekeo wa 75 kuja uelekeo wa 46E.
Ubora hautegemei KU wala Cband. Zote KU na Cband zinarusha channels za HD na SD. Kikubwa ni mawimbi husika, iwapo yapo katika Ku an C band. Kama utadaka mawimbi ya Intelsat 906 @64.2E (dish kubwa la kuanzia futi 6), ambako ndio ziko local channels, mawimbi yake yapo ktk C band, kama utadaka Continental, @ 46E, mawimbi yapo katika Ku band (dish dogo la futi 3). Ni maamuzi yako sasaInabidi ili nipate kwa ubora nifunge cband au ku? Nipe ubora wa kila technology hapo Ku na cband ili nijue msaada kaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ubora hautegemei KU wala Cband. Zote KU na Cband zinarusha channels za HD na SD. Kikubwa ni mawimbi husika, iwapo yapo katika Ku an C band. Kama utadaka mawimbi ya Intelsat 906 @64.2E (dish kubwa la kuanzia futi 6), ambako ndio ziko local channels, mawimbi yake yapo ktk C band, kama utadaka Continental, @ 46E, mawimbi yapo katika Ku band (dish dogo la futi 3). Ni maamuzi yako sasa
Ipi kati ya hizo mbili?Hivi hii satellite ipo mwelekeo ule wa Dstv ama East kama kawaida?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naaam fundi,je kuna local kwa bongo haipatikani kwa cband? Mimi nina dish kubwa fut 6 Kuband nyakati za mvua nasikia mzinguo broo leta utaalamu huoUbora hautegemei KU wala Cband. Zote KU na Cband zinarusha channels za HD na SD. Kikubwa ni mawimbi husika, iwapo yapo katika Ku an C band. Kama utadaka mawimbi ya Intelsat 906 @64.2E (dish kubwa la kuanzia futi 6), ambako ndio ziko local channels, mawimbi yake yapo ktk C band, kama utadaka Continental, @ 46E, mawimbi yapo katika Ku band (dish dogo la futi 3). Ni maamuzi yako sasa
Wakati wa mvua kubwa madish yote hayaoneshi channel kwa sababu mawimbi yanakuwa distorted. Local channels ziko katika KU na C band kwa satellite mbalimbali. Kuzipata zote uwe na madish matatu mpaka manne. Hebu pitia HAPA ujue naongelea nini, uzione na ufanye maamuzi sahihi ya channels unazotaka.Naaam fundi,je kuna local kwa bongo haipatikani kwa cband? Mimi nina dish kubwa fut 6 Kuband nyakati za mvua nasikia mzinguo broo leta utaalamu huo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante mkuu.Wakati wa mvua kubwa madish yote hayaoneshi channel kwa sababu mawimbi yanakuwa distorted. Local channels ziko katika KU na C band kwa satellite mbalimbali. Kuzipata zote uwe na madish matatu mpaka manne. Hebu pitia HAPA ujue naongelea nini, uzione na ufanye maamuzi sahihi ya channels unazotaka.
Habari mtaalamu. Naomba nieleweshe hivi mfano mtu anataka kupata satelite fulani. Labda dish ilikuwa imesetiwa katika position ya kupatikana Intelsat 906 ila unataka kupata channel fulani iliyopo position ya BULGARIAsat 1.9E - 12380 H 30000 Tandberg. Je unatakiwa kugeuza dish au unatakiwa kuongeza vile vinavyodaka mawimbi ya satelite? Sijui vinaitwaje C band au Lnb au nini.Wakati wa mvua kubwa madish yote hayaoneshi channel kwa sababu mawimbi yanakuwa distorted. Local channels ziko katika KU na C band kwa satellite mbalimbali. Kuzipata zote uwe na madish matatu mpaka manne. Hebu pitia HAPA ujue naongelea nini, uzione na ufanye maamuzi sahihi ya channels unazotaka.
Kwa kuwa direction ya hizi satellite mbili ni tofauti, unageuza dish kabisa kufuata uelekeo huo wa 1.9EHabari mtaalamu. Naomba nieleweshe hivi mfano mtu anataka kupata satelite fulani. Labda dish ilikuwa imesetiwa katika position ya kupatikana Intelsat 906 ila unataka kupata channel fulani iliyopo position ya BULGARIAsat 1.9E - 12380 H 30000 Tandberg. Je unatakiwa kugeuza dish au unatakiwa kuongeza vile vinavyodaka mawimbi ya satelite? Sijui vinaitwaje C band au Lnb au nini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa Asante, kwahiyo unaweza ukapata satellite yoyote ile kwa kutumia LNB hiyo hiyo moja uliyokuwa nayo kikubwa ni kubadilisha uelekeo kulingana na satellite unayoitaka ili kuipata channel husika?Kwa kuwa direction ya hizi satellite mbili ni tofauti, unageuza dish kabisa kufuata uelekeo huo wa 1.9E
Ndio ndgSawa Asante, kwahiyo unaweza ukapata satellite yoyote ile kwa kutumia LNB hiyo hiyo moja uliyokuwa nayo kikubwa ni kubadilisha uelekeo kulingana na satellite unayoitaka ili kuipata channel husika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimejaribu pia kwa dish la ft8 hmna kitu ukifanikiwa naomba ni pm bossITV imepotea kwenye satellite ya Intelsat 906.Nani anaipata kwenye satellite yao mpya maana nilijaribu juzi sikuipata.
Nimeipata vizuri tu ila signal sio kubwa kama ilivyokuwa kwenye sat ya zamani.Pia mfumo haujabadilika hata wenye Mediacom wanaweza kuzipata.Mkuu nimejaribu pia kwa dish la ft8 hmna kitu ukifanikiwa naomba ni pm boss