Kama inge kua na umuhumi mimi nadhani Mungu angetupa uwezo wa kuyaona haya yote kirahisi tuKumbe jibu unalo! Ipo siri kubwa sana tena sana!
Iweje ni nikuone wa nini (kwa mapokeo yangu) na mwingine awaze atakupata lini (kwa mapokeo yake)??? Siri hii kubwa ndo sasa tunahitaji walau watu waanze kufuatilia kinachosababisha.
magufuli ana nguvu sana na ameathiri na kuwaumbua wengi.Katika dunia hii kuna watumishi wa aina tatu:-
1. Watumishi wa watu
2. Watumishi wa Shetani
3. Watumishi wa Mungu
Utawajuaje? kwa matendo yao ... hao unaowaita waganga wengine ni matapeli tu wasaka pesa ... watumishi wa watu hao.
Watumishi wa shetani wana nguvu za ajabu na wanaweza kukuumbua kabisa hadi wakakuathiri
Watumishi wa Mungu - hawa watakusaidia tu kwa sababu kazi waliyonayo kubwa ni kusaidia watu!
hamna kitu bro.Mkuu third eye au Ajna Chakra si kitu simple simple like that bro susha nondo za maana na kufunguka kwake you need practice hasa kutoka kwa mwalimu hasa
kiujumla hayana faida yoyote maana ni kama unakuwa unafanya connection na nguvu za giza tu, mimi naona ni aina mojawapo ya ushirikinaHayo madudu ya ajabu ajabu utakayoyaona nn faida yake mkuu
Nipeni number za mleta thread nikamtie vitasa, huu ni uchawi upo uwezekano mkubwa sana ukaformat ubongo wako
Mkuu naomba kujua kwanini Holywood wanapandikiza hiyo fikshen, kunafaida gani kwao kupandikiza uongo?hakuna kitu kama hii Bro. hizi ni ndoto ambazo Holywood wamezipandikiza ktk vichwa vya watu.
asilimia 99 ya maneno ya watabiri wote na waganga wote NI UONGO.
Nimefanya Research miaka chungu mbovu.
Usipoteze muda wako kuzigeuza hizi fictions kuwa Reality. Hizi habari za 4 Dimension ziwache kwenye movie's tu. kinyume cha hapo utapoteza muda wako huenda ukadhurika kwa kulishwa UCHAFU na sumu na waganga wa kienyeji.
Faida ni nyingi tu wanazopata.Mkuu naomba kujua kwanini Holywood wanapandikiza hiyo fikshen, kunafaida gani kwao kupandikiza uongo?
Lugha ya vibwengo hiyo wee waite tuHaya maneno "Meyiiiiii, Meyiiiiii" yanamaanisha nini na ni lugha gani?
hahhahaahhaaaaa"Rafiki yangu ameandika kitabu kinachoitwa JINSI YA KUPATA UTAJIRI, anaomba udhamini wa kifedha ili achapishe kitabu chake..." Mtoa mada naomba usiwe kama rafiki yangu huyu.
statistics zako sio za kweli. acha imani potofu.HII ELIMU NI KWA AJILI YA WATU WACHACHE SANA HUKU DUNIANI....
NAWAITA STARSEEDS AU LIGHTWORKERS...
HUYU ATAKUELEWA SANA COZ ANAZALIWA TAYARI AKIWA NA ACCESS YA 4TH DENSITY LEVEL OF CONSCIOUSNESS...
JAMII YA WATZ UKIWAAMBIA JAMBO LOLOTE LILE WANALICHANGANYA NA IMANI......
3D AND 4D NI SUALA LA KAWAIDA KABISA. KATIKA QUANTUM PHYSICS INATHIBITISHA KUWA CONSCIOUSNESS CREATE REALITY.
UKIFATILIA VIZURI BILA SHAKA UTAKJWA UMEGUNDUA KUWA WAAFRIKA TUNA UFAHAMU WA DINI KULIKO JAMII YOYOTE ILE IN HUMAN HISTORY..... Na ndo maana wazungu wamefanikiwa kututawaliwa kwa kutumia imani zao...
statistics zako sio za kweli. acha imani potofu.
nani amekwambia sisi waafrika ndio wenye imani za dini kuliko wengine?
China na India kuna population ya over 2.6 BILLION people na hawa wote wana imani za Dini mbalimbali wakati Afrika nzima tuko 1.2 BILLION.
Pili wewe unaedai mambo haya ni kawaida nitajie kiumbe mmoja tu mwenye uwezo huo wa kuona yaliojificha au yajayo na Mimi niwe mfuasi wa hizi imani Zenu za Holywood .
Acheni kabisa kupotosha watu.
tazameni Movie km Enjoyment sio mzigeuze reality mtakula mitaji kutafuta visivyokuwepo.
Wanasemaga "za kuambiwa changanya na zako".Its only in Jamiiforums where any tom,dick and harry can be an expert of something they read or heard from somebody. And worst enough any person can take anything from here and believe.
Yaani kuna watu wao huwa wapo standby kuja kuchukua kila kinachoandikwa humu... Hawataki kabisa kufikiria. Na hili ni kundi kubwa sana ambalo utaliona kila siku linasema "nashukuru nmejifunza kitu, ukiandika tena nitag" unajifunza kila kitu kwa kila mtu we umekuwa funza?
Ni wakati wa kuanza kutumia akili yako ndugu msomaji. Mambo mengine ni ya kufikirika tu mtu anafikiri anakuja kubandika humu.