Ulimwengu uliolelewa sio ulimwengu ambao utafanikiwa

BM X6

JF-Expert Member
Nov 24, 2020
1,360
4,149
Kuna jamaa leo kaniharibia siku mapema sana, Nimekutana nae kwenye Daladala tumekaa Siti moja Mimi nikiwa naelekea kazini mkononi nimeshika baadhi ya mafile na laptop,

Kosa nililofanya ni kumuuliza jamaa saa, ikawa kama vile ndio nimefungulia maongezi, baada ya kunijibu "saa mbili kasoro" akanambia "inaonekana unawahi Ofisini kijana" Nikamwambia ndio siunajua kazi za watu pengine Mungu atatubariki na sisi tumiliki Kampuni zetu

Basi yule jamaa aliniangalia halafu akatabasamu kwa kusikitika akanambia

"Kijana hadi umefikia kuajiriwa kwenye maofisi ya watu ni wazi kuwa Kuna mambo flani flani unayajua lakini nikwambie tu kwamba ukitaka kufanikiwa Sahau yale Unayoyajua"

"Ulimwengu uliolelewa sio ulimwengu ambao utafanikiwa. Jipange upya. Ulimwengu wa kweli ni zaidi ya yale uliyofundishwa. Una rasilimali nyingi kuliko kizazi chochote kabla yako, Kazi njema Konda niache mnazi hapo"

Jamaa akashukia hapo lakini amefanya niwaze siku nzima, Yani bidii zote hizi za Mimi kufanya kazi, kuamka Kila siku Asubuhi ni kazi Bure!!!
 
Nini hikuelewa sasa. Una rasilimali nyingi kuliko kizazi kilichopita. Zamani internet ilikuwa cafe, sasa hivi iko kiganjani, barabara zilikuwa vumbi kwa sasa ni lami, simu zilikuwa za mezani mpaka uvizie dingi katoka ila sasa hivi demu akitoa namba imekwisha hiyo. Au we umeelewaje?
 
Ulimwengu wa kweli ni zaidi ya yale uliyofundishwa
Mafanikio hayako kwenye hii dunia unayoiona na kufundishwa kufanya kazi kwa bidii, kuwahi kazini, kuheshimu wakubwa, kuwa na nidhamu ya fedha.
Kuna mambo ya ziada ambayo hujafundishwa yanayopatikana katika ULIMWENGU usio huu bali ulimwengu wa kweli wa giza au mwanga.
Fafanua ulimwengu. Manaake uambatane sana na mungu au utoe kafara sana kwa shetani.
Waza mara 2

Pili kazungumzia raslimali
Internet kibao, watu wengi, usafiri wa fasta, tatizo ni fulsa kuziona na hata ukiziona bado kusitasita kwa kuogopa hasara na mtaji mdogo (competition).
Aliongea kikubwa
 
"Ulimwengu uliolelewa sio ulimwengu ambao utafanikiwa. Jipange upya. Ulimwengu wa kweli ni zaidi ya yale uliyofundishwa. Una rasilimali nyingi kuliko kizazi chochote kabla yako.........
Daah!
Huyo jamaa ungechukua namba'ake au ungeshuka naye tu, maana ndo alikuwa anaanza kukupa somo zito na adimu!!
Na kwa kuwa hakukamilisha maelezo yake, ni vigumu kuyatathmini
 
Asee hiyo akili kwa wakati ule sikuwa nayo ila niliipata badae nilivyotafakari zaidi, Ila huyu jamaa nimepanda nae Gari kutoka Tabata Kimanga kama anakaa huku huwenda tukaonana tena
 
Ulimwengu wa kweli ni zaidi ya yale uliyofundishwa
Mafanikio hayako kwenye hii dunia unayoiona na kufundishwa kufanya kazi kwa bidii, kuwahi kazini, kuheshimu wakubwa, kuwa na nidhamu ya fedha.
Kuna mambo ya ziada ambayo hujafundishwa yanayopatikana katika ULIMWENGU usio huu bali ulimwengu wa kweli wa giza au mwanga.
Fafanua ulimwengu. Manaake uambatane sana na mungu au utoe kafara sana kwa shetani.
Waza mara 2

Pili kazungumzia raslimali
Internet kibao, watu wengi, usafiri wa fasta, tatizo ni fulsa kuziona na hata ukiziona bado kusitasita kwa kuogopa hasara na mtaji mdogo (competition).
Aliongea kikubwa
Dah! Nahisi Kuna mengi ya kujifunza zaidi, sijui kama nitaonana nae tena huyu jamaa
 
Kuna jamaa leo kaniharibia siku mapema sana, Nimekutana nae kwenye Daladala tumekaa Siti moja Mimi nikiwa naelekea kazini mkononi nimeshika baadhi ya mafile na laptop,

Kosa nililofanya ni kumuuliza jamaa saa, ikawa kama vile ndio nimefungulia maongezi, baada ya kunijibu "saa mbili kasoro" akanambia "inaonekana unawahi Ofisini kijana" Nikamwambia ndio siunajua kazi za watu pengine Mungu atatubariki na sisi tumiliki Kampuni zetu

Basi yule jamaa aliniangalia halafu akatabasamu kwa kusikitika akanambia

"Kijana hadi umefikia kuajiriwa kwenye maofisi ya watu ni wazi kuwa Kuna mambo flani flani unayajua lakini nikwambie tu kwamba ukitaka kufanikiwa Sahau yale Unayoyajua"

"Ulimwengu uliolelewa sio ulimwengu ambao utafanikiwa. Jipange upya. Ulimwengu wa kweli ni zaidi ya yale uliyofundishwa. Una rasilimali nyingi kuliko kizazi chochote kabla yako, Kazi njema Konda niache mnazi hapo"

Jamaa akashukia hapo lakini amefanya niwaze siku nzima, Yani bidii zote hizi za Mimi kufanya kazi, kuamka Kila siku Asubuhi ni kazi Bure!!!
Ina mana strez zake kakumalizia wewe sio?

Sent from my VTR-L29 using JamiiForums mobile app
 
Hahaha " tuliza mtori nyama ziko chini." Ina maana ya kwamba kwa Imani pengine yule ni malaika amekujia kwa mfumo ule. Mm sio mtu wa dini lakini iyo ni possible na usidharau maneno hayo. Pia alichosema kuwa unarasili Mali nyingi ni ndio hizo ulizokuwa umebeba na mengine mengi yaliyo kuzunguka nchini.

Mpaka uajiriwe inategemea upo kwenye ajira kwa mda gani na kufanikiwa ni lazma uwe flexible na kukubali kujifunza mambo mapya na kusahihishwa pia ni kweli pengine hayo tunayo yajua Leo pengine sio ufunguo wa mafanikio, pengine yale mapya tutakayo jifunza pengine ndiyo yaletayo mafanikio lakini mafanikio hayaji tu kupitia elimu uliyo pata shule na chuo mengine ni yale ambayo utajifunza uraiani
 
Nini hikuelewa sasa. Una rasilimali nyingi kuliko kizazi kilichopita. Zamani internet ilikuwa cafe, sasa hivi iko kiganjani, barabara zilikuwa vumbi kwa sasa ni lami, simu zilikuwa za mezani mpaka uvizie dingi katoka ila sasa hivi demu akitoa namba imekwisha hiyo. Au we umeelewaje?
Hujamuelewa huyo jamaa mkuu.. hakumaanisha hicho... education ina ku limit uweze kufit kwenye shape yake ni kama maji yanavyochukua shape ya chombo jinsi kilivyo....nje ya elimu yako kuna maarifa mengi (infinity) ambayo wewe mwenyewe ukijifikirisha tu utatua changamoto nyingi zinazokutatiza....akili ni kuweza kutoboa kimaisha ukiweka kando yote uliyofundishwa shule na kwenye jamii yako..akili sio kufaulu mitihani ili ukawe muajiriwa ni sawa na ngombe kulishwa mashudu ili atoe maziwa mengi kwa ajili ya watu na si ndama wake.. elimu ina maslahi ya watu wachache kujimilikisha dunia ili hali wewe unaeza kumiliki dunia yako...
 
Kuna jamaa leo kaniharibia siku mapema sana, Nimekutana nae kwenye Daladala tumekaa Siti moja Mimi nikiwa naelekea kazini mkononi nimeshika baadhi ya mafile na laptop,

Kosa nililofanya ni kumuuliza jamaa saa, ikawa kama vile ndio nimefungulia maongezi, baada ya kunijibu "saa mbili kasoro" akanambia "inaonekana unawahi Ofisini kijana" Nikamwambia ndio siunajua kazi za watu pengine Mungu atatubariki na sisi tumiliki Kampuni zetu

Basi yule jamaa aliniangalia halafu akatabasamu kwa kusikitika akanambia

"Kijana hadi umefikia kuajiriwa kwenye maofisi ya watu ni wazi kuwa Kuna mambo flani flani unayajua lakini nikwambie tu kwamba ukitaka kufanikiwa Sahau yale Unayoyajua"

"Ulimwengu uliolelewa sio ulimwengu ambao utafanikiwa. Jipange upya. Ulimwengu wa kweli ni zaidi ya yale uliyofundishwa. Una rasilimali nyingi kuliko kizazi chochote kabla yako, Kazi njema Konda niache mnazi hapo"

Jamaa akashukia hapo lakini amefanya niwaze siku nzima, Yani bidii zote hizi za Mimi kufanya kazi, kuamka Kila siku Asubuhi ni kazi Bure!!!
Usiwe na haraka Leo endelea kutafakari lakini jua kwamba utakuja kukutana naye tena. Huyo jamaa amepania na utajikuta umekuwa mwanachama wa Siri siku moja na wewe ukitoa kafara Ili utajirike.
 
ila hili suala la taaluma sijui mwisho wake ni nini,maana huku mtaani mambo ni mengi
 
Hahaha " tuliza mtori nyama ziko chini." Ina maana ya kwamba kwa Imani pengine yule ni malaika amekujia kwa mfumo ule. Mm sio mtu wa dini lakini iyo ni possible na usidharau maneno hayo. Pia alichosema kuwa unarasili Mali nyingi ni ndio hizo ulizokuwa umebeba na mengine mengi yaliyo kuzunguka nchini. Mpaka uajiriwe inategemea upo kwenye ajira kwa mda gani na kufanikiwa ni lazma uwe flexible na kukubali kujifunza mambo mapya na kusahihishwa pia ni kweli pengine hayo tunayo yajua Leo pengine sio ufunguo wa mafanikio, pengine yale mapya tutakayo jifunza pengine ndiyo yaletayo mafanikio lakini mafanikio hayaji tu kupitia elimu uliyo pata shule na chuo mengine ni yale ambayo utajifunza uraiani
Dah! Kweli...hapo ulivyosema ww sio mtu wa Dini una maanisha nn mkurugenzi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom