WembeMkali
JF-Expert Member
- Jun 16, 2007
- 282
- 3
Hapa ndo waafrika wenzangu wananiacha hoi...Leo wahindi, wazungu na wengineo....wanaikamua nchi/bara letu no body speaks..but somebody is busy telling us sijui wahutu..siji watutsi..and what not..Hivi hii dhambi ya sisi waafrika kuchukiana tuliitoa wapi na tutaitibu vipi? Mpaka leo tunapandikiza chuki za kubaguana kwa kutumia kigezo cha urefu wa pua zetu? if you are a mhutu, mtusi, mmatumbi, mzigua..so what? And sadly..its all over Africa..huu ubaguzi sijui utaisha vipi. But What I can be sure of: Hautusadiii lolote na unazidi kutudidimiza.
An African is the only person who is neither respected at home nor abroad. Yaani tupo tupo tuu! Hivi hii ngozi nyeusi ililaaniwa na nani? Sidhani kama Mungu alifanya hiki kitu. No way, it must be somebody else. Huyo ndo inabidi tumtafute. Ndo mbaya wetu.
Kweli inasikitisha sana kuona mpaka leo watu bado tuna mawazo mgando kama haya..Hivi mtu anayefanana na Obama anaweza kweli kuja hata kugombea ukatibu tarafa kwetu Africa?..cha kwanza tutamhukumu kwa kuangalia sura yake...Ila akiwa ngozi nyeupe..I believe he stands a better chance..ila akiwa na asili yetu..his/her chances are doomed!
Kweli wazungu wametuzidi. Africa and Africans are just a lost case! no matter how we spin it. I said it...kusudi bara letu lisonge mbele..hatuna budi wote kuteketea...vizazi vichipuke upya!
Masanja,
Yo Yo,kuna mtu mmoja anajiita Born Agai Pargan(BAP) nadhani aanweza kuwa hata humu JF kasoma na m7,ulimwengu? na wengine nadhani atakuwa na jibu la uhakika.....
btw sidhani kama uraia wa uliwmengu kwa sasda una maana yoyote....
Somo zuri kweli kweli hili...linamfaa sana Paul Kagame na serikali yake inayoongozwa na kabila moja tu...huku makabila mengine yakinyimwa haki ya kushikilia nafasi za juu katika serikali yake.
Pia nadhani linamfaa Museveni ...na wahima(watutsi wa uganda) ambao wanadhani wao ni haki yao kuwa madarakani miaka yote..
Hapa ndo waafrika wenzangu wananiacha hoi...Leo wahindi, wazungu na wengineo....wanaikamua nchi/bara letu no body speaks..but somebody is busy telling us sijui wahutu..siji watutsi..and what not..Hivi hii dhambi ya sisi waafrika kuchukiana tuliitoa wapi na tutaitibu vipi? Mpaka leo tunapandikiza chuki za kubaguana kwa kutumia kigezo cha urefu wa pua zetu? if you are a mhutu, mtusi, mmatumbi, mzigua..so what? And sadly..its all over Africa..huu ubaguzi sijui utaisha vipi. But What I can be sure of: Hautusadiii lolote na unazidi kutudidimiza.
An African is the only person who is neither respected at home nor abroad. Yaani tupo tupo tuu! Hivi hii ngozi nyeusi ililaaniwa na nani? Sidhani kama Mungu alifanya hiki kitu. No way, it must be somebody else. Huyo ndo inabidi tumtafute. Ndo mbaya wetu.
Kweli inasikitisha sana kuona mpaka leo watu bado tuna mawazo mgando kama haya..Hivi mtu anayefanana na Obama anaweza kweli kuja hata kugombea ukatibu tarafa kwetu Africa?..cha kwanza tutamhukumu kwa kuangalia sura yake...Ila akiwa ngozi nyeupe..I believe he stands a better chance..ila akiwa na asili yetu..his/her chances are doomed!
Kweli wazungu wametuzidi. Africa and Africans are just a lost case! no matter how we spin it. I said it...kusudi bara letu lisonge mbele..hatuna budi wote kuteketea...vizazi vichipuke upya!
Masanja,
Mkuu badili Nick yako uitwe MZIZI wa FITINA...
Kama unabisha basi leta proof ya hiyo narrative story yako shekhe
wembe mkali heshima yako mkuu!
Wewe umeonyesha kuwa unachangia kitu unachokijua vizuri, maana haya mambo yapo kwenye vitabu vingi tu jinsi watusi walivyoingia rwanda na burundi, inashangaza watu wanakosa weledi kwa kukosa kupenda kusoma soma... Mimi hizi tetesi nilizisikia kitambo tu lakini nikawa na mashaka kuwa huenda ni ubaguzi tu lakini nikaamua kwenda kusoma asili ya watutsi nikaenda pale tanganyika library, sikumbuki kitabu kile kinaitwaje lakini kilikiri tabia zao za kujiona bora na kupenda kutawala. Vilevile kuna kitabu cha bwana musiba (uchu), japokuwa ni riwaya lakini kina ukweli mwingi tu kuhusu historia ya watutsi na tabia yao ya upenda kutawala..japo ni kweli pia kuwa huwezi kumpa adhabu ya kumuua mtu wenye kupenda kutawala sana wenzake....lakini pia ni vizuri kumdhibiti ili atambue utu wa wengine pia.
Hii sio mara yangu ya kwanza kusema hiki kitu.
Kuna kitu BAHIMA wanakiita BAHIMA EMPIRE ambayo itaunganisha Uganda, Rwanda, Burundi na sehemu za Tanzania Magharibi na DR Congo Mashariki, hii kitu ipo mtake msitake. Sikumbuki vizuri ilikuwa mwezi upi kati ya Machi na Aprili 2009, Kubenea alilizungumzia ktk MwanaHalisi.
Hivi wanajamii mnajua kuwa sehemu kubwa ya UWT ya Rwanda ni WAtutsi waliokulia Tanzania na Uganda? Je mnamjua mkuu wa kikosi cha ulinzi wa rais ambaye ni Kanali (jina limenitoka kidogo) alikuwa TISS-PSU akiwa na nafasi nzuri tu lakini baada ya Kagame kuchukua nchi alirudi KWAO! Je manajua sababu kujaza waTZ ambayo ni ili waweze ku-recruit easily watanzania halisi ili wawafanyie kazi?
Je mnajua kuwa WAHIMA are very good in conspiracy kiasi kwamba wanaweza kuanda mpango utakoa chua miaka hadi hamsini kuzaa matunda?
Kama ni kuitwa mbaguzi, acha niitwe lakini hawa watu hawafai kwani wana tabia za Kiisraeli kwamba wao tu; ndio wao tu wanaositahili kutawala wengine wanafaa kuwatumikia wao tu.
These people they don't deserve to be in any of our security organisations, because they pose a real danger to our nation and entegrity.
Mbona wako wengu tu mkuu.City Engineer wa Kigali aliyekuwa Engineer wa Manispaa hapa Dar es salaam amesoma UDSM,kuna Mawaziri si chini ya wawili waliokuwa wanafanya kazi baada ya kusoma hapa UDSM wako kwao.Kuna jamaa tulisoma naye mlimani 90's mie nilidhani ni Watz..basi juzi nimekutana naye Ar. ni Mkurungenzi ktk Wizara ya Sheria Rwanda!
RWANDESE AGENCIES INTERNATIONALE sio lazima awe mtutsi anaweza kuwa mhutu au muhtwa....huu ni udaku.Period
Ukabila hauna maana yeyote, Sasa maana Mungu ni Mmoja alituumba na kutupa tulivyo navyo hata leo. Muhimu sana ni kujua wengine bora kuliko wewe ndio na Mungu atakuona wewe. Watu wanaiba halafu story zinakuwa ukabila haifai kabisa katika jamii tunayoishi leo. Wema
umenikumbusha kitabu kinaitwa bahemba empire ni cha historia...
Mtunzi wake jina limenitoka, ila kinaelezea jinsi jamaa walivyo na ndoto ya kutawala ukanda wetu huu wa maziwa makuu...
Lakini bora tutawaliwe na watu hawa kuliko kina waasia
Mbona wako wengu tu mkuu.City Engineer wa Kigali aliyekuwa Engineer wa Manispaa hapa Dar es salaam amesoma UDSM,kuna Mawaziri si chini ya wawili waliokuwa wanafanya kazi baada ya kusoma hapa UDSM wako kwao.
Nadhani mtakumbuka na scandal ya Col Rusimbi jeshini.
Tz we needed natioanal ID siku nyingi!!! naona tumechelewa!