Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,472
- 7,276
RWANDESE AGENCIES INTERNATIONALE sio lazima awe mtutsi anaweza kuwa mhutu au muhtwa....huu ni udaku.Period
Kwa hiyo na wewe unaendeleza ukabila. Mahakama ya Arusha inakusubiri.
Mkuu badili Nick yako uitwe MZIZI wa FITINA...Katika mambo ya kinywaji nyakati za mwanzo za utawala wa awamu ya tatu, Jeneral Twaha Ulimwengu alikuwa amekaa mahali akinywa katika kikao chake hicho alionekana kumlaumu sana Raisi wa wakati huo Ben Mkapa kwa kutomteua kuwa waziri wakati kwani wao ni marafiki wakubwa kwani hata kwenye harusi ya mtoto wa Ulimwengu, B Mkapa alikuwa MC!
Sasa kutokana na kuumia kwa kuwekwa benchi au sijui nini... Akaanza kutamka maneno haya;
Kwamba yeye hajali kitu kwani anaamini wao watutsi kunasiku wataiongoza tu dunia, kwani hata mtaji wa Magazeti yake alipewa na ndugu yake (mtutsi mwenzie) Museven rais wa Uganda kama njia ya wao kujiimarisha kutaka kuitawala kwanza Afrika mashariki.... akaenda mbali zaidi kwakusema hata jina la gazeti lake RAI lina maana ya "RWANDESE AGENCIES INTERNATIOALE"!
Sasa, kama mnavyojua bwana... kumbe UWT walikuwepo wakampelekea mkanda mzima bwana Ben Mkapa!
Nasikia Ben ali-mind mno!! Akaamua kuunyofoa uraia wa Ulimwengu!
Haya wengine kwamba ooh, waligombana kwenye pombe nasikia sio kweli... hili ndiyo msingi wa Bifu lisiloisha kati Jenerali na Ben.
Na eti Ulimwengu hatamsamehe Ben ataendelea kumponda lakini msingi wake ni kuharibiwa mpago wake wa RWANDESE AGENCIES INTERNATIOALE!! hapa Tanzania maana alikuwa karibu kabisa kuaminika hadi watu kuanza kumfikiria kuwa raisi ambalo lilikuwa lengo lake kuu!
Story ndefuee!? sorryy
........Jamani hii nimeishawahi kuisikia kama mara mbili tatu hivi kutoka kwa watu wazito tu.....kuna ukweli??!
Mkuu badili Nick yako uitwe MZIZI wa FITINA...
Kama unabisha basi leta proof ya hiyo narrative story yako shekhe
Hapa ndo waafrika wenzangu wananiacha hoi...Leo wahindi, wazungu na wengineo....wanaikamua nchi/bara letu no body speaks..but somebody is busy telling us sijui wahutu..siji watutsi..and what not..Hivi hii dhambi ya sisi waafrika kuchukiana tuliitoa wapi na tutaitibu vipi? Mpaka leo tunapandikiza chuki za kubaguana kwa kutumia kigezo cha urefu wa pua zetu? if you are a mhutu, mtusi, mmatumbi, mzigua..so what? And sadly..its all over Africa..huu ubaguzi sijui utaisha vipi. But What I can be sure of: Hautusadiii lolote na unazidi kutudidimiza.
An African is the only person who is neither respected at home nor abroad. Yaani tupo tupo tuu! Hivi hii ngozi nyeusi ililaaniwa na nani? Sidhani kama Mungu alifanya hiki kitu. No way, it must be somebody else. Huyo ndo inabidi tumtafute. Ndo mbaya wetu.
Kweli inasikitisha sana kuona mpaka leo watu bado tuna mawazo mgando kama haya..Hivi mtu anayefanana na Obama anaweza kweli kuja hata kugombea ukatibu tarafa kwetu Africa?..cha kwanza tutamhukumu kwa kuangalia sura yake...Ila akiwa ngozi nyeupe..I believe he stands a better chance..ila akiwa na asili yetu..his/her chances are doomed!
Kweli wazungu wametuzidi. Africa and Africans are just a lost case! no matter how we spin it. I said it...kusudi bara letu lisonge mbele..hatuna budi wote kuteketea...vizazi vichipuke upya!
Masanja,
tofauti ya watusti na wahutu ni ipi?Mkuu, mbona unachukulia mambo kirahisirahisi!? Ben na Ulimwengu hawajawahi kuwa marafiki? ukichunguza kwa asili Ulimwengu ni mtutsti kama alivyo raisi wa Uganda siyo mhutu. Kwani msukuma ukienda kuishi Malawi si ataitukuza Tanzania!? Vipi mzee?
hapanaHivi Jenerali Ulimwengu si mtanzania?
Watutsi wapo Rwanda, Burundi, Tanzania, DR Congo, Uganda kama vile wadholuo (wajaluo) walivyo Tz na Kenya, wamakonde walivyo Tz na Msumbiji, wamasai walivyo Tz na Kenya, wasomali walivyo Somalia, Kenya na Ethiopia.
Ila ni kama vile unajaribu ku-justify Mkapa alivyomnyang'anya Ulimwengu uraia wa Tz. There's no such a justification in your thread.
Kweli hizo ni tetesi. Nothing else. Period.
kuna mtu mmoja anajiita Born Agai Pargan(BAP) nadhani aanweza kuwa hata humu JF kasoma na m7,ulimwengu? na wengine nadhani atakuwa na jibu la uhakika.......kwa upande mwingine Jenerali Ulimwengu ni nani?
..hili jina halina tofauti na majina tunayotumia hapa Jamii Forums. inashangaza kidogo.
..amezaliwa wapi, amesomea wapi?
..amefanya kazi gani tangu amalize shule na ktk taasisi zipi?