Ulimpigia kura?

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,736
4,252
IMG-20170923-WA0009.jpg
 
Ndio hata mimi nilimpigia kura, tena kwa kishindo, alikuwa ndie chaguo langu pekee! hata akigombea tena 2020 "nitampa"
Nakupenda sana mgombea wangu, nakupenda sana baba, naahidi sitakutupa kamwe! nitakupenda sana mtu wangu
NANI KAMA HASHIM RUNGWEEEEE!
 
hata mimi nilimpigia kura na sijutii anayofanya ndio nilikua nawaza kama nikipewa urais ntafanya nini jamaa ni the best japokua ni hot tempered
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom