Ulimpata vipi huyo uliyenaye sasa?

Mimi wangu nilimpata baada ya Chief mwenzangu kunihadithia kuwa kampata mdada mzuri na yuko radhi amuoe lakini kichotokea baada ya kunitambulisha kwake tu.,.. Dada wa watu akahamia kwangu
 
Mimi wangu nilimpata baada ya Chief mwenzangu kunihadithia kuwa kampata mdada mzuri na yuko radhi amuoe lakini kichotokea baada ya kunitambulisha kwake tu.,.. Dada wa watu akahamia kwangu
Lahaullah, wew na chief mambo yamekuwaje au imepita kiroho safi
 
Tuseme mambo hayo kama yana baraka za Maulana, basi hutokea kimasihara na kuishia kwenye mafanikio kimasihara pia, mtu asiamini wala kutegemea!

Ila mimi "mshirika wangu" nilimpata ki makame nguvu na ujanja mwingi mno.

Nilitumia trick ya ubabe na vitisho,baada ya kuona anapangua hoja zangu, kwamba eti kwa suala hilo ni gumu na hanitaki.

Nikampelekea ujumbe kwamba "kama hataki tutaona"

Baadaye nikatuma mamluki kumuongezea hofu kuwa mimi si mtu wa mchezo mchezo, nimedhamiria kumpoteza asiposhirikiana na mimi, ama zake ama zangu, tukikutana njiani tusisalimiane na akiniona kwa mbali anikwepe kwa kubadili njia!

Msichana akaona sasa itakuwa shida, akapaniki kwa kutaka kuniomba msamaha na suluhu, ndiyo hapo kisu kikachinja na kuchinja.

Kiukweli nilimpata ambaye haikuwa chaguo lake, ambaye baadaye alikuja kuungama kwamba amekuja kunipendea kwangu baada ya kumuoa, tena upendo wa dhahiri "pure" kabisa usio na dosari, miaka karibia 30 tupo pa1na familia iliyojifungamanisha!

Nilichojifunza hapo ni kwamba, mwanaume kama umempenda mwanamke na unataka kumuoa, basi tumia mbinu yoyote uiwezayo kumpata, usisubiri kupima mizania ya upendo wake kwako, hawa watu hupendea mtu juu kwa juu kutokana na matendo yako mema kwake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom