Paprika
JF-Expert Member
- Feb 25, 2017
- 5,950
- 9,880
Ngoma droo!Ndio tunatoa pesa ili tupate starehe
Ngoma droo!Ndio tunatoa pesa ili tupate starehe
Kwa hiyo umekubali kuwa ww ni chombo cha starehe et eeeehNgoma droo!
Umenisamehee eeh[emoji40] [emoji40] [emoji40]
Vitu vingine kama vichekesho.Mwanamke ukiona mwanaume analalamika kila ukimuomba pesa ujue huyo kazoea vya kunyonga, vya kuchinja haviwezi. Kwa jina jingine ni mwanaume suruali, kimbia haraka sana huyo hakufai atakuzeesha kabla ya wakati wako.
Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
Embu wacha niulizie kama unachosema ni ukweli?Ukiona mwanamke anakuangalia sana either kakupenda au anajamba polepole....!, ,hivi viutafiti huwa vina ukweli mda mwingine..?
Inahusu?Vitu vingine kama vichekesho.
Hasa mtu kama wewe unayetoa ushauri kwa kutumia Huawei ya promotion. Kweli mtu anaweza kuhonga type yako hata zaidi ya elfu20?[emoji38][emoji13][emoji13]
Asante Numbisa!!! Nilisikia habari zake nikaruhusu mapenzi yanizibe masikio [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Nisamehe mpenz wangu
Aaaahaa unajua vile naku admire
Unamaanisha nn? Au ndio biashara?
Hakuna mwanamke asie jiuza ila wanatumia njia tofauti kujiuza!?
Mbona unanipigilia nyundo kichwani.Huyu kijana nenda nae kwa akili hahha
Msamaha kavu kavu hivi,hela kwanza hahah
Hahaaaa leo umenikalia kweliSubiri uzame watakuja kukuokoa
Mbona unanipigilia nyundo kichwani.
Nikiachwa ujue uta be participate
Hahaaaa leo umenikalia kweli
Nikiachwa uwe tayar kunipokeaUkiachwa ntakuletea kitambaa cha kufutia jasho na machozi
Hahahah zamu yako leo
Nikiachwa uwe tayar kunipokea
Noo ww mwenyewe ndio utanipokea maana ndio ume play as postive CatalystHousefull utatafuta mwingine
Ni kweli.Castr ndio anamtaka tu nikawa namzuga.
Aah mm ni ww tu hata kapuku wanajua
Wewe mbona mwandiko wako hauoneshi kama una roho mbaya?Nitokee hapa! [emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]
Ndo huyo mdada nilisikia unatoka nae!
Ahsante kwa ushauri. Nitautia akilini.Kama ni hivyo nenda wewe kama wewe usimvute kwa nguvu ya pesa. Ukimzoesha pesa jiandae mtoso ukifulia
Niambilie bwana maana maji shingoniNi kweli.
Wewe mbona mwandiko wako hauoneshi kama una roho mbaya?
Kila ulichosikia siyo kweli huyo muaminifu sana tu.
Siamini mpaka sasa hivi haujasisitiza kwa kuweka na zile picha zako zile...Hahahaha nasubiria third world war hapa
Mfuate pmNiambilie bwana maana maji shingoni