Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,366
- 161,495
Umecheka nini tena pacha!!!nimecheka sana ujue
Yaani mbolea ya mapenzi ni hela tuuu
Umecheka nini tena pacha!!!nimecheka sana ujue
Me vs keKati ya nan na nan
hahhahah kweli pacha pesa n muhimu sana kwenye mapenziUmecheka nini tena pacha!!!
Yaani mbolea ya mapenzi ni hela tuuu
Hahaaaaaa wacha nicheke mie.alikua anaulizia njia nzr isiyokua na madhara ya kupiga puchu sasa unafkili huyo atataka mwanamke
Wewe huo ushauri kuntu kabisaWe kama zipo mpe tuu yaani mpe mpaka akupende kiukweli. Kama huna sasa, ndo utajua kuwa alikuwa anaigiza kukupenda
Usipoombwa ikaa tu basi ujue unapoza kwingine , anakuomba labda ni tamu, inampagawisha[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji106] [emoji106] [emoji119] [emoji119] [emoji8]
Usipoombwa ikaa tu basi ujue unapoza kwingine , anakuomba labda ni tamu, inampagawisha
cheka tuHahaaaaaa wacha nicheke mie.
Eti njia salama daah. Mtafutieni nayeye
Kwa hiyo,kwa wale tulio watoto wa mjini tunasema ngoma drooMwanamke Ukiona mwanaume anakuomba penzi kila akutafutapo ujue anakuona kama chombo cha starehe
[emoji121]Tutegemee ligi hapa.
UmeonaeeWewe huo ushauri kuntu kabisa
Kwa hiyo,kwa wale tulio watoto wa mjini tunasema ngoma droo
Joanah ndiyo basi tena au?Kipenziiiii miss you my love
Hahahahaha wewe utakua unasema hivi ili shemeji akiona hii post roho itulie[emoji12] [emoji12] [emoji12]Nyie asikwambie MTU mapenzi ni mapenzi na pesa ni pesa , wapo wanaopendana kwa dhati nawanapeana pesa,,,, we km huna hela usiwapeperushie wenzio ndege wao,,,,,
Mbona hata hivyo wanawake mmejitune hivyo kuwa chombo cha starehe, ndio maña wengi wanakodisha papuchiMwanamke Ukiona mwanaume anakuomba penzi kila akutafutapo ujue anakuona kama chombo cha starehe